Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
19,644
Reaction score
40,546
Wakuu hali si shwari kichwa moto hapa nilipo kijana wenu..

Sijui nifanyaje yaani mambo ni ovyo huu mtaaa aiseee
Mshana Jr

Wakuu naombeni utaratibu hapa nianze vipi nende polisi au nikaushe tu niachane nayo maana kwa walivyo chukua sio kama tashindwa kuendelea mazima hapana.

Ila biashara ina move on na hapa nipo nafungua ila sasa hiki kitendo kimeniuma sana..

Nimefanikiwa kutoa taarifa kituo cha polisi na nimepata RB
IMG_20250203_102018.jpg
 
Back
Top Bottom