Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #21
Oky wamevunja..Hilo neno "madamu" unamaanisha nini?Wamefunja?Au wamevunja?Andika kwa kutulia upewe miongozo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oky wamevunja..Hilo neno "madamu" unamaanisha nini?Wamefunja?Au wamevunja?Andika kwa kutulia upewe miongozo.
Samahani kwa kukuita hvoHilo neno "madamu" unamaanisha nini?Wamefunja?Au wamevunja?Andika kwa kutulia upewe miongozo.
DaahKaomba msaada kwa@Mshanajr amloge muhalifu wake.
Unamwitaje mwanaume madamu aiseFremu ya picha kivipi madamu..
Nimesema wamefunja na kuchukua vitu vilivyopo...
Siachagi pesa kwa fremu pia siachagi vtu muhimu kwa fremu ila ndo wamevunja na kuchukua baadhi ya vitu
Hiyo "oky" maana yake ni nini?Oky wamevunja..
Nilikosea mkuu..Unamwitaje mwanaume madamu aise
AsantePole mkuu
DaaahHiyo "oky" maana yake ni nini?
Usirudie tena.Tumia neno "mkuu"!Utakuja kuita baba zako shangazi.Samahani kwa kukuita hvo
Basi hiyo sehemu wataiba tena inaonekana ni simple kuvunja na kuchukua vitu bila bughdha jiandae kuibiwa tena. Uzoefu wangu unaonesha hivyoNawekaga kufuri mkuu
Nimekuta washatoa na kufuli lenyewe
wewe ndio hujui inch32 ni nini?Kaomba msaada kwa@Mshanajr amloge muhalifu wake.
Mijitu mijizi inaudhi sana.Wamemrudisha huyu mkuu nyuma hadi amechanganyikiwa kabisa.Changamoto wa kuanzisha biashara kweny mtaa uliochangamka
Daaah acha tuuDunia uwanjani wa vita
Angalia watu wa kujulisha kama mkeo, vingine jipambane mwenyewe watu mara nyingine hufurahia matatizo ya watu na hawana msaadaNaimani tafanya hvo ila mpaka sasa sijasema kwa mtu yoyote zaid ya humu mtandaoni mkuu
Daaah acha tuChangamoto wa kuanzisha biashara kweny mtaa uliyechangamka
Daaah mkuu acha tu.Basi hiyo sehemu wataiba tena inaonekana ni simple kuvunja na kuchukua vitu bila bughdha jiandae kuibiwa tena. Uzoefu wangu unaonesha hivyo