Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Nashauri kutoa taarifa polisi nimmuhimu sanaaa.
Kuna vitu vimeibiwa hapo vinaweza patikana sehemu nyingine ambayo inaweza kukutia matatani.
Polisi lazima uende
Sawa mkuu..
Je polisi niende na vitu gani muhimu maana ndo mara ya kwanza hata sijui naanzaje au takutana navyo kule kule
 
Umeibiwa bidhaa zipi?
Umeibiwa maeneo gani?
Mazingira ya kuibiwa yapoje?
Unao washuku ni akina nani?
Gharama ya vilivyo ibiwa ni pesa ngapi?
Mambo gani ulikosea hata kusababisha ukaibiwa?
Umesha report kituo ya polisi?
Ebu tuanzie hapo kwanza ili tuone namna gani tunakushauri.
Pole sana
 
Back
Top Bottom