Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Shukrani mkuu...Pole sana
Hapana baati nzuri vtu vyote muhimu huwa naweka ndani mkuu.Hela ulikuwa unalaza kwenye duka?
Sasa kama wamevunja fremu ya picha tu ndiyo uchanganyikiwe?Hebu elezea kwa vizuri.Wakuu hali si shwari kichwa moto hapa nilipo kijana wenu..
Sijui nifanyaje yaani mambo ni hovyo huu mtaaa aiseee
Mshana Jr
Flat nchi 32?Unamaanisha nini hapo?Hapana baati nzuri vtu vyote muhimu huwa naweka ndani mkuu.
Ila ndo hvo wamechukua flat nchi 32 mpyaaaa
Duuh pole sana No way ni kuanza upya tu, then chukua hatua madhubuti za ulinziHapana baati nzuri vtu vyote muhimu huwa naweka ndani mkuu.
Ila ndo hvo wamechukua flat nchi 32 mpyaaaa
Fremu ya picha kivipi madamu..Sasa kama wamevunja fremu ya picha tu ndiyo uchanganyikiwe?Hebu elezea kwa vizuri.
Shukrani kakaPole sana mkuu.
Pole sana mkuu.
DaaahNaona kweli kichwakinakuwaka moto wakimwagie maji kisije sambaza moto kwa vichwa vya majirni
Maana umeamdika kama mwanga wa radi hapajaeleweka.
Kaomba msaada kwa@Mshanajr amloge muhalifu wake.Duuh pole sana No way ni kuanza upya tu, then chukua hatua madhubuti za ulinzi
Naimani tafanya hvo ila mpaka sasa sijasema kwa mtu yoyote zaid ya humu mtandaoni mkuuDuuh pole sana No way ni kuanza upya tu, then chukua hatua madhubuti za ulinzi
Wamevunja vipi?Wakuu hali si shwari kichwa moto hapa nilipo kijana wenu..
Sijui nifanyaje yaani mambo ni ovyo huu mtaaa aiseee
Mshana Jr
Hilo neno "madamu" unamaanisha nini?Wamefunja?Au wamevunja?Andika kwa kutulia upewe miongozo.Fremu ya picha kivipi madamu..
Nimesema wamefunja na kuchukua vitu vilivyopo...
Siachagi pesa kwa fremu pia siachagi vtu muhimu kwa fremu ila ndo wamevunja na kuchukua baadhi ya vitu
Nawekaga kufuri mkuuWamevunja vipi?
Hauna kufuli au wamewezaje