Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Tafuta mganga mzuri uwaroge. Police watakuchelewesha tu
 
Swali kwa wataalam

Je Tanzania kuna kampuni ya bima ambayo inaweza kukufidia endapo wezi wakiiba kwenye biashara yako? Au moto ukiunguza?
Naomba mtutajie majina ya kampuni na Gharama ya bima kulingana na thamani ya biashara
Kampuni yoyote ya Bima wanalipa kama umekatia bima duka lako. Ila inaweza kuchukua hata mwaka, hawa wapuuzi wanazungusha sana.
 
Usiwaroge vijana wenzako aisee.
Samehe tu, baada ya muda utapata zaidi ya hivyo walivyokuazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…