Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #161
Jana tuu nimetoa pesa ya sungu sungu mkuuSafi, piga kazi mzee.. apo nje hua hakuna mlinzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana tuu nimetoa pesa ya sungu sungu mkuuSafi, piga kazi mzee.. apo nje hua hakuna mlinzi?
Ashakuambia frem na kuiba.Flat nchi 32?Unamaanisha nini hapo?
Woyoooo!![emoji23][emoji23][emoji23]
Bhana weeee Mlongo hebu kaa kwa kutulia kuna mzigo wa Masuku unaingia leo dumura moja kutokea Songea Chandamali huko tutagawana aisee
Unategemea sungusungu tu,? Fanya mabadiliko man watakufilisi mana wezi wako wanakuchora tuu upepo utulieJana tuu nimetoa pesa ya sungu sungu mkuu
Sasa si utulie, aunt Dorry analeta vitu vipya OG.Wee nyoko kweli..
Mi nimeibiwa ofisini kwangu wee unasema ishu za mishangazi kweli..
Kwanza mashangazi hawana msaada kwangu nimemwambia shangazi dory anasema analeta nyingine mpya hvo nitulie
Kuna kitu nakifanya itakua history hapa mtaaniUnategemea sungusungu tu,? Fanya mabadiliko man watakufilisi mana wezi wako wanakuchora tuu upepo utulie
Hapana namuamini ila sasa unajua mda ambao ataleta..Sasa si utulie, aunt Dorry analeta vitu vipya OG.
au humuamini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukishafanikiwa wajionee kwa macho...Waombee adui zako waishi miaka mingi
Hizo ni myths utafanikiwa lini kila siku wanakurudisha nyumaSiku ukishafanikiwa wajionee kwa macho...
Ahahahaa hawa mbwa
Nishapata hint ulipo mtag mzee mzizi mkavu Mshana, umebobea au ndo unaanza ulozi after kupigwa tukioKuna kitu nakifanya itakua history hapa mtaani
Wahurumie, na wao wanategemewa na familia kupeleka mkate wa kila sikuSiku ukishafanikiwa wajionee kwa macho...
Ahahahaa hawa mbwa
Nenda kwa mjumbe, Pia piga simu na M/kiti wa mtaa wako usikae kimya.Naimani tafanya hvo ila mpaka sasa sijasema kwa mtu yoyote zaid ya humu mtandaoni mkuu