Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Wakuu hali si shwari kichwa moto hapa nilipo kijana wenu..

Sijui nifanyaje yaani mambo ni ovyo huu mtaaa aiseee
Mshana Jr

Wakuu naombeni utaratibu hapa nianze vipi nende polisi au nikaushe tu niachane nayo maana kwa walivyo chukua sio kama tashindwa kuendelea mazima hapana.

Ila biashara ina move on na hapa nipo nafungua ila sasa hiki kitendo kimeniuma sana..
Polisi unaenda kufanya nini?
 
Nikupeleke kwa mganga wangu? (Joking)

Anyway pole kwa changamoto mkuu
 
Fanya hivyo.
IMG_20250203_102018.jpg

Done
 
Back
Top Bottom