Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #101
Sema ujue nn mkuuNgoja nimpigie simu bibi hangee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ujue nn mkuuNgoja nimpigie simu bibi hangee
Hapana ku sungusungu na jana nimetoka kulipa pesa ya ulinziUna mlinzi?
Ila wewe ni kivuruge jamani ....dah namkeo anasema nnamume...kumbe jf kivuruge balaa ..mtaftie mganga wa chenyeji hapo mibiki mitali bas adandie upendo la saa5 chap kwa harakaHiyo "oky" maana yake ni nini?
Polisi hawana msaada amini hilo kwanza.pili shirikisha mateja watakupa mchongoWakuu naombeni muongozo je nichunguze kimya kimya au nende polisi au nifanyaje mana mpaka sasa sielewi
Ishu ndogo sana hiyo mdogo wanguKaka nipe...
Nakuja pm
Nipo kituocha polisiMwizi hatoki mbali...usilazie anza upelelezi
Daah mkuu tashukuru bana maana hapa naona kabisa natudishwa nyumaIshu ndogo sana hiyo mdogo wangu
Daaah mkuu ujue hapa kuna watu huwa wanakuja mbali mbali na vijana huwa nawa bless mtandao hvo wanajazana wengi mno nina wasi wasi naoPolisi hawana msaada amini hilo kwanza.pili shirikisha mateja watakupa mchongo
Wee ni Muongoooo! MxxieeewWakuu naombeni muongozo je nichunguze kimya kimya au nende polisi au nifanyaje mana mpaka sasa sielewi
Ni kweliItakua njema kama utaanzia kwa mjumbe ili atambue kilicho jiri hapo mtaani kwenu.
Nenda police mkuu
Tulia kijana tuta solve bila kutumia four figure hiloDaah mkuu tashukuru bana maana hapa naona kabisa natudishwa nyuma
Mlongo umemi misika vibaya mnooo 🤣🤣🤣Wee ni Muongoooo! Mxxieeew
Hao hao wamekuibiaDaaah mkuu ujue hapa kuna watu huwa wanakuja mbali mbali na vijana huwa nawa bless mtandao hvo wanajazana wengi mno nina wasi wasi nao
Hata kama, ni muhim tena lazima aende polisi.Polisi hawana msaada amini hilo kwanza.pili shirikisha mateja watakupa mchongo