Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Sukari kwaajili ya chai kwa watumishi...Njombe kuna baridi sanasukari ilikua inafanya nini mahakamani hapo ?
halafu alikuambia mahakama inatenda haki ni nani ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari kwaajili ya chai kwa watumishi...Njombe kuna baridi sanasukari ilikua inafanya nini mahakamani hapo ?
halafu alikuambia mahakama inatenda haki ni nani ???
Hapo pagumu, aliyeibiwa hawezi kuwa hakimu. Hawezi kutenda haki. Hii kesi sijui itakuwaje.Wameichallenge mahakama.
Sijui wakati wa kutoa hukum itakuwaje,mahakama hii inawatia hatiani kwa kuiibia!! Duuu!!
Kwani hawapiki Chai hko Maofisi ya mahakamasukari ilikua inafanya nini mahakamani hapo ?
halafu alikuambia mahakama inatenda haki ni nani ???
Duuuh! Kwa hivyo mlalamikaji ndio huyohuyo mtoa hukumu.Wameichallenge mahakama.
Sijui wakati wa kutoa hukum itakuwaje,mahakama hii inawatia hatiani kwa kuiibia!! Duuu!!