Wezi wavunja na kuiba laptop na sukari kilo 25 Ofisi za Mahakama ya Wilaya Njombe

Wezi wavunja na kuiba laptop na sukari kilo 25 Ofisi za Mahakama ya Wilaya Njombe

Wameichallenge mahakama.
Sijui wakati wa kutoa hukum itakuwaje,mahakama hii inawatia hatiani kwa kuiibia!! Duuu!!
Hapo pagumu, aliyeibiwa hawezi kuwa hakimu. Hawezi kutenda haki. Hii kesi sijui itakuwaje.
 
Tatizo dharau zimezidi, wao wanavyojiona ni vyombo vya dora wanadhani watu wataogopa kuiba, mahakama nyingi hazina walinzi walio serious wengi ni walinzi wababaishaji, mahali fulani walinzi wa mahakama wanaripoti jioni baada ya hapo uwaoni tena mahakama zinajilinda zenyewe usiku wakiamini watu wanaogopa kuiba, haya sasa!
 
Back
Top Bottom