Tatizo dharau zimezidi, wao wanavyojiona ni vyombo vya dora wanadhani watu wataogopa kuiba, mahakama nyingi hazina walinzi walio serious wengi ni walinzi wababaishaji, mahali fulani walinzi wa mahakama wanaripoti jioni baada ya hapo uwaoni tena mahakama zinajilinda zenyewe usiku wakiamini watu wanaogopa kuiba, haya sasa!