Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Mwezi mmoja tu unatoka public kuanza kulalamika? Watu wapo busy ku run background check zenu. Wakati mwingine wanaochelewesha ni hao referees wako.Hi wakuu.
Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahuru.
Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.
Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few couple of days
Sasa mwezi na wiki umepita, no feedback,,,nilijua Hawa WFP watakuwa hawana uswahili kumbe nilikosea.
How come mtu afanye multiple rounds of interview afu msimpe majibu?
Wakuu hii ni sawa?
Tulia. Kama yako ni yako tu. Learn to Lose with grac atulie
Background check kwani tumekuwa magaidi?Mwezi mmoja tu unatoka oublic kuanzavkulalamika? Watu wapo busy ku run background check yzenu. Wakati mwingine wanaochelewesha ni hao referees wako.
Kuwa mvumilivu. Mpaka kuitwa inaweza ikachukua hadi miezi sita. Na wakiona haya malalamiko huenda wakaipiga chini batch yenu waka shortlist wengine.
😂😂😂😂Background check kwani tumekuwa magaidi?
Sawa…Background check kwani tumekuwa magaidi?
Mmm okyMwezi mmoja tu unatoka public kuanza kulalamika? Watu wapo busy ku run background check zenu. Wakati mwingine wanaochelewesha ni hao referees wako.
Kuwa mvumilivu. Mpaka kuitwa inaweza ikachukua hadi miezi sita. Na wakiona haya malalamiko huenda wakaipiga chini batch yenu waka shortlist wengine.
Anjaa Kali kita mkuuPunguza MUHAHA kijana
Kwamba wanachunguzs kama tuna DNA za AlshababBackground check kwani tumekuwa magaidi?
Duu kumbe mpaka referees wanakuwa contactedMwezi mmoja tu unatoka public kuanza kulalamika? Watu wapo busy ku run background check zenu. Wakati mwingine wanaochelewesha ni hao referees wako.
Kuwa mvumilivu. Mpaka kuitwa inaweza ikachukua hadi miezi sita. Na wakiona haya malalamiko huenda wakaipiga chini batch yenu waka shortlist wengine.
Dogo, Mimi ndio yule interviewer wa WFP. Ilikuwa majibu yatoke kesho ila umekuja kutusimanga huku jamvini. Huna uvumilivu kabisa dogo, nimekwazika sana na hiki kitendo. Jina lako nalifyeka sasa hivi hapa kwenye laptopuHi wakuu.
Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahuru.
Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.
Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few couple of days
Sasa mwezi na wiki umepita, no feedback,,,nilijua Hawa WFP watakuwa hawana uswahili kumbe nilikosea.
How come mtu afanye multiple rounds of interview afu msimpe majibu?
Wakuu hii ni sawa?
If you don't gerrit, fogerra abourit 😁😁😁🖐If u don't get it forget about it
Interviwer walikuwa wazungu,,so tuliza boliDogo, Mimi ndio yule interviewer wa WFP. Ilikuwa majibu yatoke kesho ila umekuja kutusimanga huku jamvini. Huna uvumilivu kabisa dogo, nimekwazika sana na hiking kitendo. Jina lako nalifyeka sasa hivi hapa kwenye laptopu
Katika kazi nyingi za kimataifa referees ni watu wa muhimu sana. Na wakati mwingine inabidi wawatafute na kuongea nao ana kwa ana kukuhusu wewe.Duu kumbe mpaka referees wanakuwa contacted
Nani kakwambia Mimi ni muafirika?Interviwer walikuwa wazungu,,so tuliza boli
Ngojangoja yaumiza matumbokuwa na subira mkuu, umefahuru😍