WFP mmeanza lini uswahili?

WFP mmeanza lini uswahili?

Yah! Wengine wanatakaga na recommendation letter kabisa. Mm niliwahi kufabya kaz ofis flani kuna kadogo kaliweka kuwa kalipita ofisin kwetu wakatupigiaga kuuliza kama tuliwah kuwa nae na tabia zake zikoje.

Mm ile ofisi niliondokaga sikuaga so nikiandikaga CV siiwekagi kabisa. Mana najua kabisa hawawez kurecomend yaliyo mazuri. Na jamaa walijua nikiacha kaz kwao naenda kufeli
Duuu kwamba huwez pata kwingine tofauti na kwao
 
NNi

Nilisend follow up email kuuliza feedback ila haijajibiwa hadi leo
Ukishapotezewa hivyo jiongeze kwingine.

Kutojibiwa nalo ni jibu, huelewi nini?

Mpaka sasa wewe huwafai (kwa sababu umewaumbua hapa publicly kabla hata hujapata kazi) na wao hawakufai (kwa sababu wame ku disappoint expectations zako kwenye basic communication).

This is not a match.
 
Hi wakuu.

Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu

Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.

Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few couple of days

Sasa mwezi na wiki umepita, no feedback,,,nilijua Hawa WFP watakuwa hawana uswahili kumbe nilikosea.

How come mtu afanye multiple rounds of interview afu msimpe majibu?

Wakuu hii ni sawa?

Mtihani mmoja wa Uvumilivu umeshindwa. Walikuwa wanafuatilia waone je ni mvumilivu. Sasa wamegundua huna uvumilivu, mlalamishi pia. Halafu hujielewi.
 
Eti uvumilivu,,, uvumilivu huo kwio,wewe unaejielewa nenda uchukie hiyo ajira
 
Wasen%e wale jamaa kila siku kutishiana mkataba utaisha mm nikaamka tu nikawambia mkataba wangu umeisha leo siji kazini. Mpaka leo wananiona kwenye taarifa ya habari na mzee kinana 😁

Cc. half America
Sasa kuonekana na kinana ni issue? Utakuwa dereva au mlinzi maana kuonekana kwenye vyombo vya habari na mtu maana yake wewe ni mtumwa wake. Ungesema unaonekana wewe kama wewe. Unajisifia kuwa ni chawa wa mtu. Halafu hizi kauli za kishujaa ndo mtakuwa nyie ambao WFP waligoma kuwaongezea mkataba. Wewe ulikuwa dereva mlevi na wenzio mnaiba na kuuza mafuta.
 
Ukishapotezewa hivyo jiongeze kwingine.

Kutojibiwa nalo ni jibu, huelewi nini?

Mpaka sasa wewe huwafai (kwa sababu umewaumbua hapa publicly kabla hata hujapata kazi) na wao hawakufai (kwa sababu wame ku disappoint expectations zako kwenye basic communication).

This is not a match.
Exactly kila mtu ashike hamsini zake.
 
Exactly kila mtu ashike hamsini zake.
Interview ya kazi inatakiwa kuwa two way street.

Wao wana ku interview wewe kama utawafaa, na wewe unawa interview wao kama watakufaa.

Sasa watu wanaokupitezea hata unapowafuatilia, wakati wewe ni ntu inayejali kupewa mrejesho hata kama hawajakukubali, hapo ni wazi kuwa hawatakufaa.
 
Perfect ulimwengu huu Kuna employer zinakata mawasiliano na badae kujabna offer,,,, Yaani kuajiriwa niutumwa
Interview ya kazi inatakiwa kuwa two way street.

Wao wana ku interview wewe kama utawafaa, na wewe unawa interview wao kama watakufaa.

Sasa watu wanaokupitezea hata unapowafuatilia, wakati wewe ni ntu inayejali kupewa mrejesho hata kama hawajakukubali, hapo ni wazi kuwa hawatakufaa.
 
Sasa kuonekana na kinana ni issue? Utakuwa dereva au mlinzi maana kuonekana kwenye vyombo vya habari na mtu maana yake wewe ni mtumwa wake. Ungesema unaonekana wewe kama wewe. Unajisifia kuwa ni chawa wa mtu. Halafu hizi kauli za kishujaa ndo mtakuwa nyie ambao WFP waligoma kuwaongezea mkataba. Wewe ulikuwa dereva mlevi na wenzio mnaiba na kuuza mafuta.
Relax mkuu, take easy!

Regards
 
Hi wakuu.

Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu

Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.

Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few couple of days

Sasa mwezi na wiki umepita, no feedback,,,nilijua Hawa WFP watakuwa hawana uswahili kumbe nilikosea.

How come mtu afanye multiple rounds of interview afu msimpe majibu?

Wakuu hii ni sawa?
Omba mrejesho, itakuwa simple kama uliomba kwa njia ya email... Sio dhambi kuomba mrejesho
 
Back
Top Bottom