Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
- Thread starter
- #21
Duu Aisee hope hajakusahau Ticha wake ata iphone 14😁 kama zawadi
Katika kazi nyingi za kimataifa referees ni watu wa muhimu sana. Na wakati mwingine inabidi wawatafute na kuongea nao ana kwa ana kukuhusu wewe.
Kuna mwanafunzi wangu mmoja nilimwandikia recommendation letter nikawa nimesahau. Siku moja pisi ya kizungu inanitafuta inataka tuonane. Kumbe inataka first hand info kumhusu huyo dogo. Ubaya sasa dogo nikawa hata simkumbuki vizuri. Ilibidi nimtafute na kumwambia anitumie bio yake haraka sana. Itoshe tu kusema kuwa dogo alipata ile kazi na sasa anabadilisha BMW na Audi tu...
Zingatieni sana referees hasa katika kazi za kimataifa ambako kidogo kuna unafuu katika suala zima la nepotism na connections...