WFP mmeanza lini uswahili?

WFP mmeanza lini uswahili?

Mara nyingi ukiona kimya hivi jiandae kupokea Thank you for your interest... , unfortunately/we regret to inform... , we appreciate your time, etc
 
Mwezi mmoja tu unatoka public kuanza kulalamika? Watu wapo busy ku run background check zenu. Wakati mwingine wanaochelewesha ni hao referees wako.
Kuwa mvumilivu. Mpaka kuitwa inaweza ikachukua hadi miezi sita. Na wakiona haya malalamiko huenda wakaipiga chini batch yenu waka shortlist wengine.
Hahahaha
 
mimi kuna kampuni inaitwa GF truck, niliwapa cv mwaka 2012...aisee mimi mwenyewe nikasahau kama nimewahi ku apply kazi kwao...mwaka 2018 wakanipigia simu niende dar tukashauriane kuhusu kazi na mshahara...nikagoma kama nimewahi apply kwao, wakanitolea cv yangu nikashangaa sana....cv ya mwanzo mwanzo ndio walikuwa nayo miaka yote hiyo. Nikagundua usikate tamaa mapema haloo...japokuwa sikuanza kazi mshahara ulikuwa mdogo alafu walitaka nianze kazi siku ilelile baada ya kumaliza maongezi
 
Back
Top Bottom