What a blow! What a shame! Ni aibu gani hii..?

What a blow! What a shame! Ni aibu gani hii..?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata!
Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu!

Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?šŸ˜­šŸ¤£šŸ˜Ž.. Sikusikia wakiulizwa who are you? badala yake nilichokiona ni who are me?
TK kawaweza halafu kawaweza tenašŸ˜‚
Karatasi moja tu la kusaini lenye maandishi machache watu walilikimbia kisha kutupiana mpira.. Lilikuwa la moto halishikiki japo haliunguzi..

Keleb moja tu chali! Hapo hata ngumi haijarushwa! TK kafunguliwa mageti aondoke haraka! 🤣 disco lililingia mmasai halafu ana sime mshale na rungu

Wameaibika big time! Na hasira zao zimeongezeka maradufu.. Lakini na hofu pia imeongezeka!
Kama mam duro na sungusungu wake wote kafuatwa mpaka maliwatoni.. Kwani wewe huogopi!?
Sijapenda Ila inachekesha
Sijapenda Ila nimenanihiiišŸ˜‚
Hakuna kuitwa, hakuna mikwara.. Form moja ya kusaini.. Maji yakalowana na mvua ikanyewa!
Sikuona vichambo
Sikuona vijembe
Sikuona misifa
Sikuona kujikweza
Sikuona mikwara
Sikuona vitisho
Sikuona tambo
Nilichokiona amri ilitoka aachiwe haraka hata kama ni weekend!
 
It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata!
Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu!

Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?šŸ˜­šŸ¤£šŸ˜Ž.. Sikusikia wakiulizwa who are you? badala yake nilichokiona ni who are me?
TK kawaweza halafu kawaweza tenašŸ˜‚
Karatasi moja tu la kusaini lenye maandishi machache watu walilikimbia kisha kutupiana mpira.. Lilikuwa la moto halishikiki japo haliunguzi..

Keleb moja tu chali! Hapo hata ngumi haijarushwa! TK kafunguliwa mageti aondoke haraka! 🤣 disco lililingia mmasai halafu ana sime mshale na rungu

Wameabika big time! Na hasira zao zimeongezeka maradufu.. Lakini na hofu pia imeongezeka!
Kama ma duro na sungusungu wake wote kafuatwa mpaka maliwatoni.. Kwani wewe huogopi!?
Sijapenda Ila inachekesha
Sijapenda Ila nimenanihiiišŸ˜‚
Hakuna kuitwa, hakuna mikwara.. Form moja ya kusaini.. Maji yakalowana na mvua ikanyewa!
Sikuona vichambo
Sikuona vijembe
Sikuona misifa
Sikuona kujikweza
Sikuona mikwara
Sikuona vitisho
Sikuona tambo
Nilichokiona amri ilitoka aachiwe haraka hata kama ni weekend!View attachment 3524806
MKuu
Hii inaitwa Aibu ya Mama.
Kama ilivyo PESA ya mamašŸ˜€
 
Kwa kilichotokea kwa Maduro, lazima mpaka sasa wawe na presha, endapo arrest warrant Ikitoka kutoka ICC kwa Samia itakuwaje?, maana mtu kanyakuliwa nchini kwake tena Venezuela, vipi hapa Malawi…

Huwezi amini, ndugu Omary alikuwa akimfariji Samuya kuwa hiyo haina shida, ikitolewa arrest warrant hauto safiri nje ya nchi, na ukitoka madarakani utaenda kupumzika kizimkazi.
 
Samia Suluhu Hassan anatakiwa afikishwe ICC kwa utekaji mauaji na ukandamizaji wa upinzani hususan mauaji ya maelfu tarehe 29 oktoba
Hivi hawawezi kutuachia na sisi wanyonge tuwafaidi hawa mataahira wetu kama akina Samia?

Tunachoomba wao watusaidie tu mitutu yetu ya bunduki waliyotugeuzia sisi waizime; halafu kazi yetu tuimalize wenyewe.

Kuwapeleka huko ICC hawa waovu ni kuwapeleka kwenye lakshari wakati waliondoa uhai wa wapendwa wetu kikatili kabisa.

Watuachie tuwamalize wenyewe; wao watuhakikishie tu, mitutu waliyoshikilia sasa hivi haifanyi kazi. Hilo tu basi. ndilo ombi letu kwao.
 
Hata ya Pastor Malisa inaenda kumuharibia maza. Hiyo ukijumlisha na sakata la Gwaji na Kitima ukaongezea na mkwara wa mashehe wakukata watu vichwa kidogo kidogo anaenda kutengenezewa zengwe la christians persecution kama Nigeria.
 
Je mpaka sasa bado kuna watu wanaamini lile igizo lao la kumkamata mjeshi wa wenyewe akiwa na vilipuzi kisha kumuweka korokoroni?
 
Back
Top Bottom