JIFUNZENI KWA MADULOKwa kilichotokea kwa Maduro, lazima mpaka sasa wawe na presha, endapo arrest warrant Ikitoka kutoka ICC kwa Samia itakuwaje?, maana mtu kanyakuliwa nchini kwake tena Venezuela, vipi hapa Malawi…
Huwezi amini, ndugu Omary alikuwa akimfariji Samuya kuwa hiyo haina shida, ikitolewa arrest warrant hauto safiri nje ya nchi, na ukitoka madarakani utaenda kupumzika kizimkazi.
It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata!
Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu!
Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?😭🤣😎.. Sikusikia wakiulizwa who are you? badala yake nilichokiona ni who are me?
TK kawaweza halafu kawaweza tena😂
Karatasi moja tu la kusaini lenye maandishi machache watu walilikimbia kisha kutupiana mpira.. Lilikuwa la moto halishikiki japo haliunguzi..
Keleb moja tu chali! Hapo hata ngumi haijarushwa! TK kafunguliwa mageti aondoke haraka! 🤣 disco lililingia mmasai halafu ana sime mshale na rungu
Wameabika big time! Na hasira zao zimeongezeka maradufu.. Lakini na hofu pia imeongezeka!
Kama ma duro na sungusungu wake wote kafuatwa mpaka maliwatoni.. Kwani wewe huogopi!?
Sijapenda Ila inachekesha
Sijapenda Ila nimenanihiii😂
Hakuna kuitwa, hakuna mikwara.. Form moja ya kusaini.. Maji yakalowana na mvua ikanyewa!
Sikuona vichambo
Sikuona vijembe
Sikuona misifa
Sikuona kujikweza
Sikuona mikwara
Sikuona vitisho
Sikuona tambo
Nilichokiona amri ilitoka aachiwe haraka hata kama ni weekend!View attachment 3524806
Rekodi mpya kabisa 2026😂😂😂Bwana Thadei Kweka aliyeshirikiwa na Jeshi la Polisi, aliomba msaada kupitia ubalozi wa Marekani Tanzania, wakampelekea fomu asaini ili apate huo msaada kutoka Serikali ya Marekani, Jeshi la Polisi awali lilimgomea lakini tukio la leo la Maduro iliwafanya waruhusu asaini hizo fomu za Ubalozi wa Marekani na kumuachia huru na kumfutia mashitaka na Sasa yupo huru kama raia Mwema katika nchi hii. Sijawahi ona mtuhumiwa anapewa hukumu ya kuachiwa weekend wakati mahakama hazifanyi kazi weekends. Hii ni maajabu
Huyu kakosa hiyo bahatiBwana Thadei Kweka aliyeshirikiwa na Jeshi la Polisi, aliomba msaada kupitia ubalozi wa Marekani Tanzania, wakampelekea fomu asaini ili apate huo msaada kutoka Serikali ya Marekani, Jeshi la Polisi awali lilimgomea lakini tukio la leo la Maduro iliwafanya waruhusu asaini hizo fomu za Ubalozi wa Marekani na kumuachia huru na kumfutia mashitaka na Sasa yupo huru kama raia Mwema katika nchi hii. Sijawahi ona mtuhumiwa anapewa hukumu ya kuachiwa weekend wakati mahakama hazifanyi kazi weekends. Hii ni maajabu
Fomu alisaini kabla ya tukio la Venezuela, ila kaachiliwa baada ya tukio la VenezuelaBwana Thadei Kweka aliyeshirikiwa na Jeshi la Polisi, aliomba msaada kupitia ubalozi wa Marekani Tanzania, wakampelekea fomu asaini ili apate huo msaada kutoka Serikali ya Marekani, Jeshi la Polisi awali lilimgomea lakini tukio la leo la Maduro iliwafanya waruhusu asaini hizo fomu za Ubalozi wa Marekani na kumuachia huru na kumfutia mashitaka na Sasa yupo huru kama raia Mwema katika nchi hii. Sijawahi ona mtuhumiwa anapewa hukumu ya kuachiwa weekend wakati mahakama hazifanyi kazi weekends. Hii ni maajabu
😁Je mpaka sasa bado kuna watu wanaamini lile igizo lao la kumkamata mjeshi wa wenyewe akiwa na vilipuzi kisha kumuweka korokoroni?