It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata!
Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu!
Hasira za TK sijui ataangushiwa nani!?😭🤣😎.. Sikusikia wakiulizwa
who are you? badala yake nilichokiona ni
who are me?
TK kawaweza halafu kawaweza tena😂
Karatasi moja tu la kusaini lenye maandishi machache watu walilikimbia kisha kutupiana mpira.. Lilikuwa la moto halishikiki japo haliunguzi..
Keleb moja tu chali! Hapo hata ngumi haijarushwa! TK kafunguliwa mageti aondoke haraka! 🤣 disco lililingia mmasai halafu ana sime mshale na rungu
Wameabika big time! Na hasira zao zimeongezeka maradufu.. Lakini na hofu pia imeongezeka!
Kama ma duro na sungusungu wake wote kafuatwa mpaka maliwatoni.. Kwani wewe huogopi!?
Sijapenda Ila inachekesha
Sijapenda Ila nimenanihiii😂
Hakuna kuitwa, hakuna mikwara.. Form moja ya kusaini.. Maji yakalowana na mvua ikanyewa!
Sikuona vichambo
Sikuona vijembe
Sikuona misifa
Sikuona kujikweza
Sikuona mikwara
Sikuona vitisho
Sikuona tambo
Nilichokiona amri ilitoka aachiwe haraka hata kama ni weekend!
View attachment 3524806