What are random interesting facts about yourself?

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2020
Posts
653
Reaction score
1,698
Hi.

Karibuni tuelezane mambo (facts) mbali mbali kutuhusu sisi, ambazo sio kila mtu anazijua.

Mimi naanza.

1. I am a Coma survivor. Nilipata ajali ya gari na nikaa coma kwa muda wa wiki mbili. Sikumbuki kitu chochote kuhusu hizo wiki mbili.

2. I am a landlord. Hii ni nyumba yangu ya juhudi zangu. Wapangaji wangu wananiheshimu sana. Niliona mmoja kanisave MAMA MWENYE NYUMBA nilijihisi natembea mawinguni.

3. Sijawahi kula chipsi mayai au mayai tangu nimezaliwa.

Karibuni.
 
I am afraid of snakes, spiders, chameleon and lizard ever since I was a little kid.

I have a lifelong fear of water because I almost drowned once in the pool. It was absolute hell which made dying seem like a better option. I was struggling very hard but the more you struggle the faster you sink. Lucky someone came to save me. I have been told that drowned is the one of the most peaceful ways to die but hell nah!

I try to always mind my own fuqn business.
 
Mm yangu kuhusu wadudu.

Naogopa sana panzi(balale), na jamii ya wadudu kama ile wanaoruka wale, hata nilivyokuwa mtoto sikuwah wakamata.

Fun thing, siogopi Aina yoyote ya wadudu wanaotambaa, jamii ya nyoka , nge, tandu nk.

Fear Factor
 
Sio wanawake wote wana herpetophobia.
Na pia kuna wanaume waoga pia. Hivyo hiyo si sababu.
Hapa nimelizingatia sana hili, mwanamke kuogopa hivi vitu ni kawaida ila kwa mwanaume si kawaida, yaani huwa ni habari. Tupo sisi wanaume miongoni mwetu tunaogopa sana DAMU, mpaka kuchinja kuku mtu anashindwa, ila mimi bi mkubwa wangu anauwa nyoka kama anaua sisimizi vile, ila mshua ilikuwa hawezi kuuwa nyoka.

Duniani kuna vidhaifu viwili navyo ni mtoto mdogo na mwanamke.
 
Nimeelewa.
Wewe unaogopa damu pia? Na ni mdudu gani unaogopa?
 
Nime survive sana uchawi na ushirikina ( especially nikiwa mitungi) bila kujua, nishategwa sana ila huwa wanashangaa wakiniona. Napenda kuendesha gari kwa kasi, zile safari ndefu, nakili ni kitu cha ovyo. Napenda kusali japo juu juu ila Mwene enzi Mungu Baba yupo nami. Everybody say Ameni
 
Nimeelewa.
Wewe unaogopa damu pia? Na ni mdudu gani unaogopa?
Hujaelewa. Mimi siogopi damu ila nimesema miongoni mwetu sisi wannaume tupo tunaogopa DAMU.

katika wadudu wote ambao nawajua mimi wote siwaogopi, ila nasisitiza ya kuwa katika kiumbe ninacho kiogopa hapa duniani ni MWANAMKE, hiki kiumbe naweza hata kukiandikia vitabu vya kujaza mijaladi kwa mijaladi (Volume) kisha nikahitimisha kwa neno moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…