Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Lol, mwanamke kakufanya nini wewe?Hujaelewa. Mimi siogopu damu ila nimesema miongoni mwetu sisi wannaume tupo tunaogopa DAMU.
katika wadudu wote ambao nawajua mimi wote siwaogopi, ila nasisitiza ya kuwa katika kiumbe ninacho kiogopa hapa duniani ni MWANAMKE, hiki kiumbe naweza hata kukiandikoa vitabu vya kujana mijaladi kwa mijaladi (Volume) kisha nikahitimisha kwa neno moja tu.