What are random interesting facts about yourself?

unafaa sana kila shule ingepata mwalimu mmoja tu kama wewe hakika watoto wetu wangebadilika kwakiasi kikubwa
 
Ni mtunzaji mzuri wa siri, zangu mwenyewe na za watu wengine hivyo ukiniambia jambo kisha ukalikuta mtaani hebu kumbuka vizuri...hukuniambia mimi peke yangu
Aisee uko kama Mimi, na watu wa aina hii tunaaminika sana.
 
Napenda sana mamba (crocodiles). Swimming with crocs ndiyo hobby yangu
 
Napenda sana kucheka na kutabasamu.
Sio shabiki wa mpira wala siasa japo nilitamani sana ningekua shabiki.
Ni ngumu sana kuchukia,lakin ukinekera nitakwambia ukweli ukichukia basi kesho yake nitacheka na wew kama hakuna kilichotokea.
Sio muongeaji kabisa,wala kuchangia jambo lolote ata kama nafahamu kwa watu sijawazoea.
Sipendi kumuona mtu akiteseka,akiwa katika shida lakn ndo sina uwezo wa kumsaidia kila mwenye shida ninae kutana nae.
Napendwa na watu sijajua hadi leo sababu ya muonekano au ukimya wangu.
Ninawashikaji wachache sana ambao wote hapna nilifahamiana nae chini ya miaka kumi.

Ndo nilivyo lakn nilitamani niwe mcheshi sana.
 
1) asilimia kubwa ya marafiki zangu walianza kwa kunichukulia kama funy guy, ila tulivyokaa karibu zaidi walibadili mtazamo wao na kuniona kama mtu wanaeweza kumtegemea katika ushauri wa masuala yao yanayowasibu, hii ni kutokana na uwezo niliopewa na mungu wa kutatua matatizo na kupendekeza lipi suluhisho muafaka kulingana na aina ya mtu na jambo linalo msibu.

2)mahusiano yangu yote yaliyodumu nime date na wanawake wanaonizidi angalau miaka 3 kwenda juu, na kila nnapo nnapo break up ex wangu anaolewa, sijui hii kitalamu imekaaje.

3) napendwa sana na watoto wadogo (chini ya miaka 2) wanaponiona hasa wale ambao tulishakuwa na moment pamoja huonyesha sura za furaha kiasi cha kuonyesha shauku ya kunifuata mahali nilipo. hii imekua ikinitokea katika maisha yangu kila mahali ninapoenda

4) kipindi nasoma kila mwalimu aliyemtaka msichana niliyekuwa nae kwenye mahusiano, alikua anaishia pabaya. advance mwalimu alifukuzwa, na chuo aliishia kuaibika katika kikao cha idara na nikamaliza salama kabisa
 
Napenda sana harufu ya maziwa ya mama anaenyonyesha. Hua napenda kupakata au kuinua watoto wachanga ili tu nisikie ile harufu ya maziwa ya mama.
 
 

Utakuwa Sagittarius nadhani...
 
*nikinunua nguo mpya kabla cjaivaa nikapishana na mtu kavaa ya aina hiyo hiyo naichukia pia kuna uwezekano nisiivae kabsa,
 
Naogopa sana ajali aisee yani ajali ikitokea sehemu sitamani ata kuendelea kukaa hapo, nitasogea endapo msaada unitajika sana,

Kwenda na simu chooni ni udhaifu wangu mkubwa, yan ata kama simu iko wapi ntaitafuta ilimradi nikifika chooni niperuz [emoji16][emoji16]napenda tu yan ,

Ni mgumu sana kuzoeana na watu wapya na tukizoeana na mtu bas nakuwa nimependa mimi,na huwa sipendi mazoea yavuke mipaka,

Kwa mtu ambaye hanifahamu, ni ngumu sana kujua me ni mtu wa aina gani kwa mda mfupi , napenda kujiweka ivo,

Napenda kujifunza vitu vipya na vingi kila siku, na huwa sichagui cha kujifunza ilimadi tu kiwe positive.


Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 

i have vertigo


sipendi kelele


sipendi uchafu


………………………..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…