Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Lol, mwanamke kakufanya nini wewe?Hujaelewa. Mimi siogopu damu ila nimesema miongoni mwetu sisi wannaume tupo tunaogopa DAMU.
katika wadudu wote ambao nawajua mimi wote siwaogopi, ila nasisitiza ya kuwa katika kiumbe ninacho kiogopa hapa duniani ni MWANAMKE, hiki kiumbe naweza hata kukiandikoa vitabu vya kujana mijaladi kwa mijaladi (Volume) kisha nikahitimisha kwa neno moja tu.
Ndiyo na mimi nikiwemo.Hiyo sisi, ukiwemo? Au?
Hahahahahahhaha. Unaogopa ule mwanga au ile mngurumo mkuu?Naogopa Sana Radi kumamake, ajali ya majini na kifo Cha kuchinjwa
Habari zake zinaanzia mbali sana. Historia imeshaandika na wino umekauka.Lol, mwanamke kakufanya nini wewe?
1.Mi ni mjinga.
Aise mi ni mjinga wa mambo mengi sana.
Hata kwenye fani yangu mimi ni mjinga pia.
Mfano, sijui kutumia muda vizuri.
2. My Net worth is negative.
๐ ๐ Lol, i can imagine our first trip to the Bush, utawezana kweli madamI am afraid of snakes, spiders, chameleon and lizard ever since I was a little kid.
I have a lifelong fear of water because I almost drowned once in the pool. It was absolute hell which made dying seem like a better option. I was struggling very hard but the more you struggle the faster you sink. Lucky someone came to save me. I have been told that drowned is the one of the most peaceful ways to die but hell nah!
I try to always mind my own fuqn business.
Mimi na wewe tayari tuna makubaliano.[emoji28][emoji28] Lol, i can imagine our first trip to the Bush, utawezana kweli madam
Utakuwa we Ni mwembamba ivi?Mimi chakula kwangu ni kama Dawa...nakula ila sijawahi kufurahia misosi
Haha ๐ , tutafanya hivyo Paula Paul ila nawaza reaction yako tu ukikutana na hivyo viumbe.Mimi na wewe tayari tuna makubaliano.
Na ulikibali hayo maeneo hautonipitisha.View attachment 1482685
Lol,Haha [emoji28], tutafanya hivyo Paula Paul ila nawaza reaction yako tu ukikutana na hivyo viumbe.
๐๐Mi sina kitu nachojiogopa! Kama nyoka juzi tu nimeua mwenyewe bila msaada wa mtu tandu ndio usiseme naweza mkanyaga hata na soli ya kiatu! Naogopa kuachika japo sijawahi kuachwa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
๐๐Lol,
Have you ever seen someone pee her pants?
๐๐๐aisee wewe ni mimi kabisa. .Sina rafiki wa kusema huyu ni rafiki yangu, am mostly quite, sipendi makelele, sidumu katika mahusiano ya kimapenzi na muda mwingine huwa nayaona ni kero. Am good Hearted Man, nisiyejuta wala kulaumu kwa chochote nitakachoamua kukifanya. Sipendi kuwa Threatened au Threatening anyone, sipendi mikusanyiko.
Am Introvert.