What are some crazy interesting conspiracy theories?

Conspiracy theory about birds in America is true, they use a fabricated birds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cryptocurrency especially Bitcoin was under siege by Uncle Sam (United States of America) through their Central Intelligency Agency (CIA).

They believed Bitcoin was a game changer and great invention. However, because it might threaten the mighty Dollar and traditional banking industries, children of darkness were out to fight it.

Personally, I believed many Crypto related Ponzi programs that were exciting "investors" were ploys by the powerful groups to discredit Bitcoin.

In order to kill Cryptocurrency, CIA created many well programmed online Ponzis, that they used to mope out Bitcoin from the masses and to paint Bitcoin as a scam currency.

All people participated through any cryptocurrency referral investment programs also known as Ponzi scheme, were victims of enemies of Bitcoin or were used to destroy Cryptocurrency by dark forces.
 
Darasa Duara hii Finland Conspiracy ni evidence gani wanatumia kusema haipo?
Ningependa kusikia zaidi pia kuhusu hii ndege.
Hiyo ya Finland wanadai kuwa Finland haipo ila Russia na Japan ndio wametengeneza uongo huo(kuwa kuna nchi inaitwa Finland) ili wawe wanavua samaki katika maeneo hayo bila kuingiliwa. Na wanadai hata kujengwa kwa Trans Siberian Railway ilikuwa ni kwa lengo la kusafirisha samaki hao kwenda Japan na samaki hao wanasafirishwa kwenda Japan kwa kificho kwa kuziziba kwa bidhaa za Nokia ili ionekane kama ni bidhaa za Nokia ndio zinasafirishwa.

Na kulithibitisha hilo wanasema ndio maana Japan ndie importer mkubwa zaidi wa Nokia products duniani licha ya kuwa ni watu wachache tu ndio wanaomiliki simu za Nokia Japan. Wanadai pia hata jina la Finland linaanza na "fin" kwa sababu samaki wana "fins". Kuongezea zaidi wanadai wanaodaiwa kuwa ndio raia wa Finland, kiuhalisia ni raia wanaoishi aidha Sweden, Estonia au Russia. Na hata Helsinki, ambao ndio mji mkuu wa Finland,wanadai unapatikana mashariki mwa Sweden. Wanadai picha zote za anga zinazoionesha Finland ni feki na marubani wote wanaoruka juu ya anga ya hiyo nchi inayodaiwa haipo wanapewa hongo ili waseme kuwa kuna nchi inaitwa Finland.


Na kuhusu hiyo ya Ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea March 2014 kuwa ndio ndege ya Malaysia MH17 iliyodunguliwa Ukraine July 2014, wanadai Malaysia MH370 haikupotea bali ilifichwa tu na baadae ikawa reintroduced kama Malaysia MH17 na kudunguliwa July 2014 kwa sababu za kisiasa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow, sounds interesting.
 
Ofcourse I have got your point, Thank you.
And btw your English is good Titicomb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…