What are some crazy interesting conspiracy theories?

What are some crazy interesting conspiracy theories?

1584028393817.png

Some people seem to remember there being a dash in Kit Kat, making it “Kit-Kat,” but there isn’t one, and that frustrates them because they’re sure that once upon a time, there was one.
 
1, The Planet Earth is hollow and there could be other civilization living in it.

2, Prince Charles is a vampire.

3, Princess Diana was assassinated.

4, Queen Elizabeth is a cannibal.

5, An elite cohort of reptiles rule the earth, an Justine Bieber is one of them.

6, NASA know about a second SUN, and they have hidden it from us.

7, The moon does not exist (It is just a projection put there for a reason).

8, Barack Obama could control the weather

9, Obama is Malcolm X`s son.

10, Nigeria president Mr Muhammadu Buhari is a clone.
Hiyo namba 9 imenikumbusha conspiracy theory moja ya ajabu sana inayodai kuwa Angela Merkel ni mtoto wa Adolf Hitler.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusiojua kiinglish tunaruhusiwa kuchangia chochote?

Yaani kama Doomsday conspiracy... mambo ya UFO?

Kama tunaruhusiwa basi muwege mnatutafsiria mlichoandika maana wengine wazazi wetu hawakuwa na ada ya kutusomesha St. Mtakatifu english medium academy schools
Mnaruhusiwa Asprin.
Haya tuelezee hiyo ndio inakuwaje?
 
Hiyo ya Michelle Obama hata mimi ilinishangaza sana. Conspiracy theories za ajabu kwangu ni;-

1. Eminem amefariki toka mwaka 2006 kwa drug overdose. Huyu tunayemuona sasa ni clone tu.

2. Paul McCartney amefariki toka mwaka 1967 kwa ajali ya gari. Huyu tunayemuona sasa sio mwenyewe.

3. Baadhi ya watu maarufu ni mijusi kiuhalisia na wala si binadamu.

4. WaIran ndio waliomuua Michael Jackson ili kuhamisha attention ya dunia ambayo ilikuwa inafuatilia ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2009.

5. Finland haipo.

6. Robert De Niro ndie aliyempiga risasi Malala Yousafzai.

7. Ile ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea March 2014 ndio MH17 iliyodunguliwa kule Ukraine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa Duara hii Finland Conspiracy ni evidence gani wanatumia kusema haipo?
Ningependa kusikia zaidi pia kuhusu hii ndege.
 
Baada ya Waingereza kugundua long range radars wakaanza kudetect na kuzitrack ndege za wajerumani na kuanza kuzidondosha.. Wajerumani kuona vile wakaanza kufuatilia waingereza wanazionaje ndege zao zikiwa mbali.. Mwingereza akawaingiza chaka kuwa wanajeshi wao wanakula sana karoti ndo maana wanaona mbali, wajerumani wakatoka nalo na kuitangazia dunia kuwa karoti zinafanya uone mbali ndo hadi leo tunakomaa na huu uzushi
Lol,That's what the UK wants them to believe. I can't stop laughing.
 
Bado sijapata file lake. Kila nikimwita aje nimkague ananisemesha kimombo. Nshalipa ada kwa Ras Simba...muda si mrefu ntakuletea ripoti
Sawa babu, naisubiri hiyo report.

Huyu mtoto amesababisha mpaka siku hizi najifanya kusoma soma ovyo ili tu nielewe anachokiandika, ila shida iko pale pale.
Dah umefanya nicheke msibani we jamaa
Pole na msiba babu, ila ukweli kabla hujafungua thread ya huyu mtoto inabidi ujue tu kuna ngeli ya ukweli.

Pengine napita zangu mbali, au natafuta kinywaji kiasi ili ngeli ipande ndo natafuta nyuzi zake.
Usiwe unasoma thread zake kabla hujagonga K Vant... utatoka kapa tu
Jamani. You guys are awesome.
 
Back
Top Bottom