What are some crazy interesting conspiracy theories?

Hahahaha aise, nadhani hii dunia ya sasa vitu vingi sana tumelishwa ni uongo.
 
Hii "6. The Big Bang Cosmology" ipoje?
 
Pili, kuna muda kutokujua sababu ni bora kuliko kujua sababu,lakini swali la msingi ni kuwa kwanini wanadanganye watu ? Hapa ndipo pa msingi, huko kwingine ni ziada na si jambo la msingi sana.
Hamna au hapakuwa na sababu yoyote ya kudanganya watu. Hivo hawakudanganya.
 
Hii "6. The Big Bang Cosmology" ipoje?

By Definition kwa ufupi sana.

Cosmology ni study of the origins and destination of the universe.

Sasa nadharia ya "Big Bang" (Kishindo Kikubwa) kama chanzo cha ulimwengu na maisha.

Nadharia hii si ya kweli hata kwa bahati mbaya.
 
Hamna au hapakuwa na sababu yoyote ya kudanganya watu. Hivo hawakudanganya.

Hawakudanganya nini au juu ya nini ?

Unakubali kuna mtu aliwahi kufika mwezini ?

Sababu kubwa na maarufu ni kuwaonyesha watu ya kuwa wana uwezo mkubwa sana katika fani ya Sayansi,na husemwa ule ulikuwa mchezo wa kuonyeshana na USSR kwa wakati ule (Hapa sijafatilia uhakika wake, ila husemwa hivyo, kwahiyo kwa muda wako unaweza kufatilia kwa undani).
 
Zurri unanikoroga, sasa hiyo si ndio wanaita flat?
 
Liverpool beaten by Atletico because of complacency.
Very weird conspiracy theory!

Liverpool's 30 shots against Atletico's 10 shows the desire and intent to win the match.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…