Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hahahaha aise, nadhani hii dunia ya sasa vitu vingi sana tumelishwa ni uongo.
Mi nafikiri watu huwa hawapendi kuwa bored, wakiwa bored siku ya "slow news" wanatengeneza conspiracy theory.
Ni aina fulani ya kuji entertain.
Halafu sasa kuna conspiracy theories zingine, kama ya crop circles, zinakuja kuwa kubwa mpaka wao wenyewe waliozianzisha hawaamini.
Yani unaanzisha conspiracy theory, inakuwa kubwa, unakutana na mtu anakuambia habari za conspiracy theory uliyoianzisha mwenyewe, huku anaamini kabisa.
Hapo lazima useme kimoyomoyo "ungejua kwamba unaongea na muanzilishi wa conspiracy theory hii..."