What are some crazy interesting conspiracy theories?

Nini maana ya tambarare ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
"4, Queen Elizabeth is a cannibal." Where did this conspiracy even start.
 
Zurri unanikoroga, sasa hiyo si ndio wanaita flat?

Kuna vitu viwili hapo. Ukubwa wa dunia na kile tunacho kiona.

Kinachoonekana kulingana na upeo na ukomo wetu ni utambarare na ndio uhalisia wenyewe, ila umbile zima ni Duara.

Kama wanasema Flat tu kisha hawaendi mbele ziadi, basi kuna dosari kwao wao.

Kama hujaelewa nitakuelewesha siku nyingine usijali. Tukijaaliwa.
 
Ukienda kwenye safi za milima utaionaje dunia ni tambarare au ardhi imefanywa kama tandiko?
Nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ni duara,nukta,sio flat,uende mbele zaidi au urudi nyuma zaidi ni duara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda kwenye safi za milima utaionaje dunia ni tambarare au ardhi imefanywa kama tandiko?
Nonsense.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaiona tambarare kama ulivyo uhalisia wake, sababu hakuna aliye udiriki ukomo wa dunia, na hii inathibitisha ukubwa wake hata ukiwa angani ni hivyo hivyo.
 
Many people have died/ dying from it. But some people still believe it is hoax.
We'll be waiting for more.

No one has died.feom AIDS, Absolutly no one. check your facts clearly.
Ceteris peribus,Every person who has passed away had a know disease which could be cured.
They just use HIV/AIDS as a scape goat.
 
Mkuu hiyo ni chai umenyweshwa apo.

BTW ni kweli carote zinasaidia kuona vizuri pia zinatibu baadhi ya magonjwa ya macho hii nime prove mimi mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
I think You've missed the point Executive Diary.
Ni kweli kwamba UK walikuwa wanaona ndege zikiwa mbali kwa sababu walikuwa wanakula karoti?
Nahisi UK walikuwa tayari na advanced technology ambayo ujerman alikuwa hajaijua na Uk hakutaka kufichua siri akawaambia wale karoti.

Karoti inaweza ikawa kweli inasaidia uwezo wa kuona, lakini jee ukila carot utakuwa na uwezo wa kuona vifu vya masafa marefu?
Jibu ni hapana, you need Technology.
 
Mkuu kuna site moja ya conspiracy theories wamewahi kusema hivyo kuna lizard people tunaishi nao walimtaja pia na Justin bieber
Yeah,

Kuna jamaa mmoja Mmarekani nilikuwa namuheshimu kabisa, akasema hivyo hivyo George W. Bush ni lizard.

Halafu akasema anatabiri George W. Bush atajiuzulu urais, kwa sababu siri yake kwamba ni lizard imejulikana.

George W. Bush akaenda kushinda urais na kuwa a two term president!
 
Haiwezi kuwa kama tandiko au kuonekana kama Tambarare kwa mtu aliyeko Morogoro mjini ambaye amezungukwa na milima ya Uluguru,labda inaweza kuonekana hivyo kwa wewe uliye jangwani.
Natumia lugha nyepesi mno. Sasa sijui unapinga nini na unathibitisha nini.

Nasema hivi dunia ni duara ila kulingana na ukubwa wake ardhi ipo kama tandiko na huonekana tambarare(flat).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…