Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nini maana ya tambarare ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio "flat earther" kwa kukata kabisa, bali naamini dunia ni Duara ila kwa ukubwa wake,sisi tunaona ni tambarare, na ardhi imefanywa kama tandiko.
Maana naona unatuchukulia poa sana, hatuko kibiashara bali sisi wengine tuna vyanzo vya kuamikia zaidi juu ya hili.
Sent using Jamii Forums mobile app