Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukizwa na wale mapadri na mashehe waliokua wanapiga kelele kuhusu freemason. Wao kila kitu freemason mara usivae hiki, mara usiweke vidole hivi. Walivyo wajinga wanajifanya hawatumii vitu vya freemason halafu wanatumia Teknolojia ya freemason kama vile Frequency, Waves, Wireless, Recording, CD nk nk. Katika kurekodi.
Sasa mtu kama huyu ni mpumbavu tu hutaki kutumia vitu vya freemason halafu unawahubiria watu na kurekodi kwenye CD zente Teknolojia ya Blueray ambayo imetoka kwa makafiri Marekani.
Ukiwa mjinga unakua mtaji wa kila mtu, Majamaa sijui waneishia wapi. Au Freemason wenyewe wamekwisha?
Pumzika kwa Amani Kanumba. Kifo chako ndio kilileta yote haya.
Fuatilia kuhusu royal family utagundua kulikuwako na weusi wengi tu hapa siongelei (half cast) naongelea pure blacks.White race wants to mix with black race b'coz half cast is well baked, eg.British Royal family,Meghan Markle and Prince Harry began already to have an offspring.
Sio tena 2000!?That the world actually ended in 2012 and we are currently living in parallel universe.
Sent using Jamii Forums mobile app
akikujibu uni-tag1.Freemason ni nini?
2.Ni ipi hiyo teknolojia ya freemason?
3.kuna ushahidi gani kwamba Frequency, Waves, Wireless, Recording, na CD ni teknolojia ya freemason ?
Elezea kwa ufupi tu mkuu nitakuelewa na wengine utakuwa umetupa mwanga!
Sent using Jamii Forums mobile app
muwe mna prove wrong hizo mnazoziita conspiracy theories[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
☕☕☕☕☕Good !!! I second you.[emoji122][emoji122] hii ndiyo comment moja yenye akili peke yake
Sent using Jamii Forums mobile app
No sio 2000 ni 2012 ndio dunia ilitoweka. There's a conspiracy theory that the world ended in 2012 and it makes senseSio tena 2000!?
Unataka watumie nini?Nachukizwa na wale mapadri na mashehe waliokua wanapiga kelele kuhusu freemason. Wao kila kitu freemason mara usivae hiki, mara usiweke vidole hivi. Walivyo wajinga wanajifanya hawatumii vitu vya freemason halafu wanatumia Teknolojia ya freemason kama vile Frequency, Waves, Wireless, Recording, CD nk nk. Katika kurekodi.
Sasa mtu kama huyu ni mpumbavu tu hutaki kutumia vitu vya freemason halafu unawahubiria watu na kurekodi kwenye CD zente Teknolojia ya Blueray ambayo imetoka kwa makafiri Marekani.
Ukiwa mjinga unakua mtaji wa kila mtu, Majamaa sijui waneishia wapi. Au Freemason wenyewe wamekwisha?
Pumzika kwa Amani Kanumba. Kifo chako ndio kilileta yote haya.
umeleta na prove zako safii👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏That Apple products are among Satan’s own technological inventions on earth, and that’s why he honors himself with the bitten apple as the logo for all Apple products. The bitten apple is said to signify his (Satan’s) victory in Eden. So Steve Jobs is just an errand boy being remote-controlled by the top dog himself who is operating from the unknown corners of the universe.
Hizi huwa zinatengenezwa na "manabii" ili wapige hela.No sio 2000 ni 2012 ndio dunia ilitoweka. There's a conspiracy theory that the world ended in 2012 and it makes sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kwanini wanasema hivyo?George Bush is a lizard.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Hivi mmeelewa comment yangu.?1.Freemason ni nini?
2.Ni ipi hiyo teknolojia ya freemason?
3.kuna ushahidi gani kwamba Frequency, Waves, Wireless, Recording, na CD ni teknolojia ya freemason ?
Elezea kwa ufupi tu mkuu nitakuelewa na wengine utakuwa umetupa mwanga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo George Bush is a lizard ilikuwa conspiracy theory inasema Bush, pamoja na wanasiasa wengi, si watu, ni aina fulani ya mijusi kutoka nje ya dunia waliojibadilisha kuwa wanaonekana kama watu.Mkuu ni kwanini wanasema hivyo?
Halafu kuna Finland conspiracy and the state of Wyoming doesn't exist. Government ina fake na ya kwamba popote pale hauwezi kusikia mtu ametoka kwenye hiyo state. Najua ni Conspiracy theory lakini inaweza ikawa na fact inayoweza fanya mtu aiamini amini.
Unalizungumziaje mkuu?
Dean Koontz wrote about it in one of his books I think is "The Eyes of Darkness "in the 80s.That Corona virus was actually man made in a lab by China in Wuhan and it was accidentally realised into the city by a lab employee. They made this Virus as a bioweapons on their own people.
Sent using Jamii Forums mobile app