Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Many people have died/ dying from it. But some people still believe it is hoax.HIV/AIDS is a hoax. This is the most childish conspiracy theory, but I would have been happy if it was real....
I will be back for more theories.
Mkuu asante kwa ufafanuzi.Hiyo George Bush is a lizard ilikuwa conspiracy theory inasema Bush, pamoja na wanasiasa wengi, si watu, ni aina fulani ya mijusi kutoka nje ya dunia waliojibadilisha kuwa wanaonekana kama watu.
Lizard people: the greatest political conspiracy ever created
Wyoming ipo mpaka Makamu wa Rais wa zamani Dick Cheney ninkwao uko, ila kuna watu wachache sana mpaka inakuwa vigumu kukutana na mtu anayetoka huko. Halafu wengi hawatoki kwao.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kiingereza chake nani dogo?Dogo kwani kile kingereza chake kimeenda wapi?
Ni vikundi tuu vya watu wanaofikiria nje ya box. Hawawezi kuwa manabii haoHizi huwa zinatengenezwa na "manabii" ili wapige hela.
I am not really sure but one Religion already exists, they call it "science".Do you think the game is still on about the New World Order, one religion, one currency, and so on?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaruhusiwa Avriel. Changia kwa kiswahili.Waswahili tunaruhusiwa kuchangia?
Maana kila nikijaribu kuandika kiingereza kinakuja kinyakyusa na kisukuma mbele mbele kama tai!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeandika kwa ukali Da'Vinci. Hadi nimeangalia jina mara mbili mbili.Nachukizwa na wale mapadri na mashehe waliokua wanapiga kelele kuhusu freemason. Wao kila kitu freemason mara usivae hiki, mara usiweke vidole hivi. Walivyo wajinga wanajifanya hawatumii vitu vya freemason halafu wanatumia Teknolojia ya freemason kama vile Frequency, Waves, Wireless, Recording, CD nk nk. Katika kurekodi.
Sasa mtu kama huyu ni mpumbavu tu hutaki kutumia vitu vya freemason halafu unawahubiria watu na kurekodi kwenye CD zente Teknolojia ya Blueray ambayo imetoka kwa makafiri Marekani.
Ukiwa mjinga unakua mtaji wa kila mtu, Majamaa sijui waneishia wapi. Au Freemason wenyewe wamekwisha?
Pumzika kwa Amani Kanumba. Kifo chako ndio kilileta yote haya.
Tunaruhusiwa Avriel. Changia kwa kiswahili.
Yaani kama Doomsday conspiracy... mambo ya UFO?
It's a good laugh to read this.Bill Gates isn't the real owner of Microsoft. The firm is the property of "Corporate America" or "Corporate World" and Gates is/was just an employee
That, they are done with him as far as Microsoft Company is concerned and has been dispatched to another mission- depopulating the world working alongside with MONSANTO, UNFPA and WHO.It's a good laugh to read this.
Nimeona na movie yake wameact wahindi. Hawajaitendea haki kabisa ile novelSydney Sheldon kwenye hiki kitabu alitisha sana, yaani nilikuwa naona kama eti issue ni kweli kabisa.
Nimeona na movie yake wameact wahindi. Hawajaitendea haki kabisa ile novel
Jina hilohilo... Doomsday ConspiracyNaomba jina la hiyo movie niione hivyo hivyo.
Maana kwangu kwenye Novel za jamaa ile naipa namba moja aisee.
Jina hilohilo... Doomsday Conspiracy
Mambo ya Commando Robert Bellamy. Toka alivokua recruited na NSA mpaka kuanza kuchezewa fix na mabosi wake kisa alitaka kuachana na kazi hiyo. Lakini kabda ya kummaliza walitaka awafanyie kazi yao ya kuziba leakage ya kuonekana kwa UFO. Kazi iliandaliwa na mfumo nadani ya mfumo!Naomba jina la hiyo movie niione hivyo hivyo.
Maana kwangu kwenye Novel za jamaa ile naipa namba moja aisee.