What are some crazy interesting conspiracy theories?

What are some crazy interesting conspiracy theories?

Hiyo George Bush is a lizard ilikuwa conspiracy theory inasema Bush, pamoja na wanasiasa wengi, si watu, ni aina fulani ya mijusi kutoka nje ya dunia waliojibadilisha kuwa wanaonekana kama watu.

Lizard people: the greatest political conspiracy ever created

Wyoming ipo mpaka Makamu wa Rais wa zamani Dick Cheney ninkwao uko, ila kuna watu wachache sana mpaka inakuwa vigumu kukutana na mtu anayetoka huko. Halafu wengi hawatoki kwao.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Mkuu asante kwa ufafanuzi.
 
Nachukizwa na wale mapadri na mashehe waliokua wanapiga kelele kuhusu freemason. Wao kila kitu freemason mara usivae hiki, mara usiweke vidole hivi. Walivyo wajinga wanajifanya hawatumii vitu vya freemason halafu wanatumia Teknolojia ya freemason kama vile Frequency, Waves, Wireless, Recording, CD nk nk. Katika kurekodi.

Sasa mtu kama huyu ni mpumbavu tu hutaki kutumia vitu vya freemason halafu unawahubiria watu na kurekodi kwenye CD zente Teknolojia ya Blueray ambayo imetoka kwa makafiri Marekani.

Ukiwa mjinga unakua mtaji wa kila mtu, Majamaa sijui waneishia wapi. Au Freemason wenyewe wamekwisha?
Pumzika kwa Amani Kanumba. Kifo chako ndio kilileta yote haya.
Leo umeandika kwa ukali Da'Vinci. Hadi nimeangalia jina mara mbili mbili.
Btw, sio vibaya nimependa huo ukakamavu.

Nasikia hata Freemasons/illuminati ni conspiracy theory.
 
It's a good laugh to read this.
That, they are done with him as far as Microsoft Company is concerned and has been dispatched to another mission- depopulating the world working alongside with MONSANTO, UNFPA and WHO.

The word goes that even in his documented WILL there is no mentioning of any of his siblings. The only thing that will be inherited by his blood is his personal property
 
Naomba jina la hiyo movie niione hivyo hivyo.

Maana kwangu kwenye Novel za jamaa ile naipa namba moja aisee.
Mambo ya Commando Robert Bellamy. Toka alivokua recruited na NSA mpaka kuanza kuchezewa fix na mabosi wake kisa alitaka kuachana na kazi hiyo. Lakini kabda ya kummaliza walitaka awafanyie kazi yao ya kuziba leakage ya kuonekana kwa UFO. Kazi iliandaliwa na mfumo nadani ya mfumo!
 
Back
Top Bottom