What are some crazy interesting conspiracy theories?

hii inshu ya human cloning na

time traveling huwa havipandi kabisa

labda wajuvi was hizi mambo mkuje

Da'Vinci
 
Hawa jamaa walioanzisha hii movement ya "birds ain't real" naona wamefanya makusudi tuu ili wauze T-shirts wapige hela.
Kwa hali ya kawaida, kama US walitaka kuweka drones zenye mfumo wa birds wangetengeneza hizo drones wachanganyike na hao ndege wa kawaida. Hapakuwa na ulazima wa kuwaua ndege wa kweli.
Ingetakiwa itengenezwe bila kuwa na tofauti hata ndogo na hao ndege... vinginevyo ndege wangezikimbia hizo drons kila wakutanapo nazo.. MFANO TU MCHUKUE NGEDERE MPAKE RANGI TOFAUTI NA YAO THEN MWACHIE AKACHANGANYIKE NA WENZIE HUKU AHANA RANGI KAMA YA WENZAO... wallah watakesha wanfukuzana mpaka wafe
 
Another one ni kwamba "we (humans) are prisoners and the earth is the prison, our ancestors commited crimes and were sent here.." the proof that supports this conspiracy is that our bodies are not compartible with life on earth thats why we get diseases also UFO ndio prison guards wanaokuja kutucheki kama tunaendelea vizuri huku..

Dimension of time ni different kati ya duniani na our mother (orign ) planet so wao wanaona kama wametufunga kwa miaka michache lakini kwa time ya duniani tupo kwa millions of years... siku kifungo chetu kikisha ndio siku ambayo christians wanareffer kama second comming ya messiah ambapo tutakuja kuchukuliwa na kupelekwa nyumbani kwetu ambapo hakuna magonjwa wala kifo sababu maisha ya huko ni compartible na miili yetu..
 
Nasikia hata Freemasons/illuminati ni conspiracy theory.
Freemasons are real but they are different from what people associate them to be.
Illuminati were real but not anymore.

Freemasons and Illuminati ideas are the ones which brings wealth and not witch crafts, neither Satan nor Lucifer who brings wealth to the Freemasons or Illuminati members.
It's like being taught how to make best cakes in town, then it's obvious you will have the most sales of cakes in town, the quality of your works or products gives you more competitive edges over your competitors.

Taught marketing strategies on how to produce/compose a music which will hit on radio stations and how to make a strategic music playlist on radio stations, it is most likely your songs will become hit songs and you will get more live performances, more concerts, more money, And in fact there are such strategies exists out there.

See?
That is how Freemason and Illuminati does, they give you rare knowledge. Those knowledge are results of extensive secret researches invested in quest for perfection.
Illuminati are the true masters of perfectibility.

Forgive my poor English from Kayumba Primary School, but I hope you got my point.
 
hii inshu ya human cloning na

time traveling huwa havipandi kabisa

labda wajuvi was hizi mambo mkuje

Da'Vinci
Hii waitafsiri vipi?
Mfahamu Sananda na utengenezaji wa picha ya Yesu ili kumwandalia njia mpinga Kristo
Salute Comrades
Tunaishi katika dunia ambayo vitu ambavyo ni vyakweli vinaonekana ni Uongo (Conspiracy) na Vitu vya uongo vinaonekana ni Kweli. Lakini pia kuweka mahaba ya dini mbele kupita kiasi bila kufanya Uchunguzi

Sananda ni nani..?

Ni miongoni mwa wale malaika 200 waasi ambae atatumika kudanganya watu kua ni kristo. Kwa Waislamu wanamwita DAJAL.
Kuna picha ambayo inajulikana na wengi kama ni picha ya Yesu,ukweli ni kwamba picha hiyo inayodhaniwa kuwa ni ya Yesu sio kweli bali ni ya fallen angel mmoja anaefahaika kama Sananda na jina hili linajulikana kwa wafuasi wao na alishafanya kikao na wafuasi wake na akawapa maelekezo namna ya kufanya

Picha hii yenye sura ya mzungu mwenye ndevu nyingi na sura ya aina fulani imeshatangazwa sana na imeingia kwenye kumbukumbu za watu kwa kiwango cha kutisha na hata leo ukiwaambia huyu ni nani utasikia wakisema kwamba huyu ni Yesu

Mbinu hii ilianza zamani sana na kupewa baraka na makanisa ya Kikristo kufikia hatua ya kuwaaminisha watu kwamba huyu ni Yesu.Ndio maana akitokea mtu fulani ambae anakaribia kufanana na sura hiyo utasikia watu wakisema kwamba "anafanana na Yesu"

Utengenezaji wa Filamu ya Yesu (Jesus of Nazareth 1979) Brian Deacon.
Ni Filamu iliyo engenezwa mwaka 1979 ikionyesha maisha ya Yesu kristu ilitengenezwa na
John Heyman na kuongozwa na Peter Sykes na John Krish. Ilitengenezwa kupitia injili ya mtakatifu Luka. ilifadhiliwa na Campus Crusade for Christ bajeti yake ikiwa ni $6Mil. ilishutiwa Israel.
Project nzimma ilisimamiwa na Jesus Film Project ambayo ilikua chini ya Evangelical Organization.
Brian Deacon
ndie alikua mwigizaji mkuu kama Yesu.
Deacon alikua mwigizaji pekee aliyeshinda kwenye mchujo waigizaji 263 ambao walitaka kuigiza kama Yesu.

Sasa ipo hivi...
Leonardo da Vinci alimchora Caesar Borgia mtoto wa Papa Alexander 8 ile picha akailemba kidogo ikawa na mwonekano tofauti. Lakini ile picha hàkua amemchora Borgia Alikua kamchora Sananda. Brian Deacon kapita kwenye mchujo huo wa watu 260 kilichokua kinatafutwa ni mtu atakayefanana na ile picha aliyechora Leonardo da Vinci ambae ni Sananda mwenyewe. Sasa bahati ikaangukia kwa Deacon akafanyiwa na make up kidogo akawa amefanana na Sananda . Picha imechezwa na lengo lao limetimia. Leo hii mtu akiona picha ya Deacon atasema ni Yesu.
Lengo ni kwamba Watu tukalili kua yule tunayemwona kwenye picha tuseme ndie Yesu Tukishakua na Mentality hio ikifika ule wakati wa mpinga kristo/Dajal kuja duniani watu wengi watamfuata kwasababu watakua wamekariri kua ndie Kristo Masihi. na atakua na uwezo wa kutenda miujiza kama Yesu kristo.

Ndugu zangu hizi ni nyakati za mwisho, shika imani yako kishujaa usiyumbe yumbe wewe Mkristo.

Ahsanteni & Tchao.
-Vinci
 
mkuu na vi picha vya kushushia basi

Da'Vinci
 
Back
Top Bottom