What are some crazy interesting conspiracy theories?

Depal naona unanigongea like tu... umesusa kunisalimia sio? Nimwachie Mungu?
 
We are all aware of possible aliens somewhere in the universe. These aliens perhaps are intelligent creatures able to traverse different galaxies with sophisticated technologies.

Perhaps we are under alien invasion. Perhaps the aliens brought with them a mysterious virus COVID-19 to do a stress test on us.

Just thinking aloud. What is your opinion?
 
Sasa sisi tuko wapi tena???mbona mnanivuruga tu akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pengine lol. Ngoja nikuulize vitu.

Hivi haujagundua kwamba baada ya mwaka 2012 mpaka leo, unaona kwamba 2012 ilikuwa kama juzi tuu?

Baada ya 2012 mfumo wa maisha yako haujabadilika? Yaani kuanzia 2013.
Utakuta mambo mazuri au mabaya yalianza 2013. Pengine ulikuwa haufanikiwi lakini baada ya 2012 mafanikio yakaanza na kinyume chake.

Kama hivi vitu hauvihisi basi it didn't end.
 
Wakati nimefika fika South Africa miaka hiyo nilipata bahati ya kukuta njiwa watatu waliongia bahati mbaya ndani kwangu na wakakwama kutoka nje.sikuuliza mara mbili tukawachinja na kuwapika.mwenyeji mmoja akasema una bahati wenye hao njiwa hawajakuoma.ungefungwa.kumbe wale njiwa ndio kazi yao hii???mbona mimi niliwala tu sikuona tabu wala tofauti.ngoja wa marekani waje watuamboe habari za njiwa wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikuwa nasoma kitabu fulani nikakutana na conspiracy theory fulani ambayo to me Was very funny.

Kwamba, Hapo zamani kuna viumbe walishuka kutoka sayari fulani huko angani wakaja duniani, viumbe hawa wanatajwa katika vitabu kama serpent master.Walipofika walianza kuishi huko chini ya aridhi, ndio maana duniani kuna underground tunnels nyingi ambazo haijulikani nani alizijenga.

Baada ya muda walijitokeza juu ya uso wa dunia, wakajenga mji katika bara lililokuwepo zamani likijulikana kama Atlantis (Plato amewahi lizungumzia hili bara kwamba lilipotea).

Ikafika muda wakaamua kutengeneza viumbe ambao watakuwa watumwa wao, viumbe hawa wanatajwa kama son of the serpent.Lakini wakakosea baada ya kuwapa wale viumbe akili sawa na wao, hivyo waliwakimbia Wakakataa kuwa watumwa wakaenda kuishi bara la Lemuria( hili bara nalo lilikuwepo zamani.

Baada ya makosa hayo wakaamua kutengeneza viumbe wengine. Hapo ndio wakaumbwa Adam na Hawa wakawekwa katika bustani ya Eden. Lakini Son of the serpent wakaja kuwatonya Adam na Hawa kwamba mmefanywa kuwa watumwa.

Ukatokea ugomvi mkubwa sana kati ya serpent masters na son of the serpent, ukapelekea Vita ya kwanza ya nyukilia many years ago.Na ushahidi wa hiyo vita upo. Na kuna literature nyingi sana kuanzia Bible,Veda etc za dini na jamii mbalimbali zina support hii theory.

I take a break...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I once asked myself this question.I f there is no mass on the moon,and people seem to float,ile bendera ya marekani ilipepeaje wakati wa moon landing???can someone explain to me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hmmm, malizia tuone aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dream yangu kubwa niliyokuwa nayo maishani, since I was a teeneger ilifeli kimasihara kabisa 2013.Ilifeli to the extent ni ngumu kuweza au niseme haiwezekani kuirudisha, maana nikisema nirudi kuitafuta nitapoteza vingi zaidi na hapo sina uhakika if it will come true.

I still regret up to date.

Kuhusu kubadirika kwa mfumo wa maisha, ngoja nifanye uchunguzi. Napata sense za curiosity about this theory...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana.
Ulivowchinja haukukuta camera huko ndani? Ulikula drones.
 
Soma kuhusu hii theory. Yawezekana haihusiani na dunia kuisha lakini kwanzia 2013 mambo yalibadilika sana kwenye maisha ya watu wengi sana.
 
Samaki mtu
Gravitation force eti ni 9.8
Relative density haina SI UNIT
Black hole
Uchavushaji

sijawahi kuamini haya mambo naonaga siasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…