Pinkman
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 712
- 1,571
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Conspiracy ya kichina hiyo... yaani conspiracy ya kula popo mchana kweupeEti kuna conspiracy kwamba Kvant inatengenezwa kwa mkojo wa kicheche
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa... roho yangu imeponaMpenzi shikamoo kwanza, pili sijakususa nilikuwa busy tu kufatilia mdahalo.
@lifecodedhii inshu ya human cloning na
time traveling huwa havipandi kabisa
labda wajuvi was hizi mambo mkuje
Da'Vinci
Wanasema Mayan calendar na Mandela Effect na mambo mengine kibao yanayoonesha dunia iliisha 2012. Mimi binafsi naamini It did end.
Tupo pengine lol. Ngoja nikuulize vitu.
Wakati nimefika fika South Africa miaka hiyo nilipata bahati ya kukuta njiwa watatu waliongia bahati mbaya ndani kwangu na wakakwama kutoka nje.sikuuliza mara mbili tukawachinja na kuwapika.mwenyeji mmoja akasema una bahati wenye hao njiwa hawajakuoma.ungefungwa.kumbe wale njiwa ndio kazi yao hii???mbona mimi niliwala tu sikuona tabu wala tofauti.ngoja wa marekani waje watuamboe habari za njiwa waoHawa na flat earther ni wapo kibiashara. Wauze Tshirts na kofia tuu.
Halafu wapo makini na kazi yao.View attachment 1385924
Kwa kuunganisha ushahidi wapo vizuri.
View attachment 1385925
Unaona huyu pigeon walivomchambua? Najiuliza kwanini wasimkamate mmoja au watano wampasue.
I once asked myself this question.I f there is no mass on the moon,and people seem to float,ile bendera ya marekani ilipepeaje wakati wa moon landing???can someone explain to me?Hawakudanganya nini au juu ya nini ?
Unakubali kuna mtu aliwahi kufika mwezini ?
Sababu kubwa na maarufu ni kuwaonyesha watu ya kuwa wana uwezo mkubwa sana katika fani ya Sayansi,na husemwa ule ulikuwa mchezo wa kuonyeshana na USSR kwa wakati ule (Hapa sijafatilia uhakika wake, ila husemwa hivyo, kwahiyo kwa muda wako unaweza kufatilia kwa undani).
Hmmm, malizia tuone aiseeLeo nilikuwa nasoma kitabu fulani nikakutana na conspiracy theory fulani ambayo to me Was very funny.
Kwamba, Hapo zamani kuna viumbe walishuka kutoka sayari fulani huko angani wakaja duniani, viumbe hawa wanatajwa katika vitabu kama serpent master.Walipofika walianza kuishi huko chini ya aridhi, ndio maana duniani kuna underground tunnels nyingi ambazo haijulikani nani alizijenga.
Baada ya muda walijitokeza juu ya uso wa dunia, wakajenga mji katika bara lililokuwepo zamani likijulikana kama Atlantis (Plato amewahi lizungumzia hili bara kwamba lilipotea).
Ikafika muda wakaamua kutengeneza viumbe ambao watakuwa watumwa wao, viumbe hawa wanatajwa kama son of the serpent.Lakini wakakosea baada ya kuwapa wale viumbe akili sawa na wao, hivyo waliwakimbia Wakakataa kuwa watumwa wakaenda kuishi bara la Lemuria( hili bara nalo lilikuwepo zamani.
Baada ya makosa hayo wakaamua kutengeneza viumbe wengine. Hapo ndio wakaumbwa Adam na Hawa wakawekwa katika bustani ya Eden. Lakini Son of the serpent wakaja kuwatonya Adam na Hawa kwamba mmefanywa kuwa watumwa.
Ukatokea ugomvi mkubwa sana kati ya serpent masters na son of the serpent, ukapelekea Vita ya kwanza ya nyukilia many years ago.Na ushahidi wa hiyo vita upo. Na kuna literature nyingi sana kuanzia Bible,Veda etc za dini na jamii mbalimbali zina support hii theory.
I take a break...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dream yangu kubwa niliyokuwa nayo maishani, since I was a teeneger ilifeli kimasihara kabisa 2013.Ilifeli to the extent ni ngumu kuweza au niseme haiwezekani kuirudisha, maana nikisema nirudi kuitafuta nitapoteza vingi zaidi na hapo sina uhakika if it will come true.Tupo pengine lol. Ngoja nikuulize vitu.
Hivi haujagundua kwamba baada ya mwaka 2012 mpaka leo, unaona kwamba 2012 ilikuwa kama juzi tuu?
Baada ya 2012 mfumo wa maisha yako haujabadilika? Yaani kuanzia 2013.
Utakuta mambo mazuri au mabaya yalianza 2013. Pengine ulikuwa haufanikiwi lakini baada ya 2012 mafanikio yakaanza na kinyume chake.
Kama hivi vitu hauvihisi basi it didn't end.
Nimecheka sana.Wakati nimefika fika South Africa miaka hiyo nilipata bahati ya kukuta njiwa watatu waliongia bahati mbaya ndani kwangu na wakakwama kutoka nje.sikuuliza mara mbili tukawachinja na kuwapika.mwenyeji mmoja akasema una bahati wenye hao njiwa hawajakuoma.ungefungwa.kumbe wale njiwa ndio kazi yao hii???mbona mimi niliwala tu sikuona tabu wala tofauti.ngoja wa marekani waje watuamboe habari za njiwa wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kuhusu hii theory. Yawezekana haihusiani na dunia kuisha lakini kwanzia 2013 mambo yalibadilika sana kwenye maisha ya watu wengi sana.Dream yangu kubwa niliyokuwa nayo maishani, since I was a teeneger ilifeli kimasihara kabisa 2013.Ilifeli to the extent ni ngumu kuweza au niseme haiwezekani kuirudisha, maana nikisema nirudi kuitafuta nitapoteza vingi zaidi na hapo sina uhakika if it will come true.
I still regret up to date.
Kuhusu kubadirika kwa mfumo wa maisha, ngoja nifanye uchunguzi. Napata sense za curiosity about this theory...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni njiwa watatu wanono sana tena wana ladha na nyama kuliko wale nilikua nafuga pale Gangilonga.Nimecheka sana.
Ulivowchinja haukukuta camera huko ndani? Ulikula drones.
Hao watakuwa ni njiwa sio spies.Ni njiwa watatu wanono sana tena wana ladha na nyama kuliko wale nilikua nafuga pale Gangilonga.
Sent using Jamii Forums mobile app