What are some crazy interesting conspiracy theories?

Mungu atusaidie ili tusitekwe na ulimwengu Bali tumche na kumtumaini yeye, na pia atupe uvumilivu.

Maana Imeandikwa, atakaevumilia mpaka mwisho ndio atakae okoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu watu wanaongea sana ila udhibitisho sifuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana deal na afya ili apige pesa UKIMWI umezoeleka CORONA balsa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
surelyz your sure 🤷mambo mengine ni uyaache kama yalivyo tu🤔
 
Hakika ni ukweli mtupu!.... Mungu tutetee![emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo haya ili uyaelewe unatakiwa kutumia akili kubwa pamoja na critical spiritual thinking ni sawa na kukuta wasomi wa Molecular biology wakijadili masuala ya Genetic Engineering and Gene Printing halafu nawe unataka kuunga au kutokuunga mkono hoja na akati hata Introductory Microbiology hujasoma nikimaanisha hata yule bacteria mkubwa aitwae Thiomargarita namibiensis humjui ni sawa na kupoteza muda.
Si lazima uchangie hoja hasa kwenye mijadala ambayo siyo saizi yako.
 
Kama kuna kipindi ambacho Dunia yetu inahitaji msaada ni sasa, maisha ya mwanadamu kila kukicha yanaingia kwenye sura mpya ya changamoto, ni mwendawazimu tu asiyejua hali halisi ya dunia ilivyo.

Tunaishi wakati wa Giza Nene, wakati ambapo Dhambi ni sehemu ya Maisha ya watu hata wanaojiita watu wa Mungu. Shetani ametia Giza akili za watu wasijue dhambi ni nini, na hata wakijua wanaihalalisha dhambi.

Watu wanajaa makanisani kila ibada, lakini kila Mtu ana njia zake. Ndugu zangu Mzigo wa dhambi umeilemea, Dunia nayo inaenda kuanguka wala haitainuka tena, lakini Mimi na wewe tuna nafasi ya kuokolewa.
 
Upo sahihi hizi kabisa. Watu wana conspiracy theories nyingi sana mpaka zinawafanya uwezo wao wa kufikiri. Ukitaka kuamini hili kariri huu Uzi kama tukabahatika kuishi miaka michache ijayo utakuja hivi hivi kitakachobadilika ni jina tu ila maelezo yatabakia exactly the same
 
Nimeongelea video ya ted talk ambayo bill gate ameiongelea na nilivyoelewa alichokisema . Kama una la kupinga au kuongeza ruksa acha kuzunguka
 
2012 nilikuwa natafuta chuo, it feels like was yesterday. I still remember kila kitu cha chuo. Na sioni hata kama nimekuwa (grow up) lol, I feel time is going faster.
Kuna vitu Kama kweli vile, toka 2012 na Mimi naona Kama Mambo yalibadilika na mpaka Sasa yapo yapo tuu . Muda umepita Kama juzi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema,kiongozi,humu wengine thread kama ile ya kula tunda kimasihara ndio saizi yao
 
Nakala nzuri sana lakini imeharibika baada ya kuchanganya mafundisho ya Paul aka Saul na kufanya ni ya Yesu..

Yesu hajawahi kusema yeye ni Mung,Yesu hajawahi sema kuwa damu yake itukizwe

Yesu mwenyewe alimuomba Mungu amsaidie Mara nyingi tu Kaka ilivyoandikwa kwenye Biblia

Mfano Luka 22:42,Yesu alimuomba Mungu amuondoshee Ile adhabu ya kusulubiwa

Marko 15:34,Yesu alimlaumu Mungu kwanini hakumsikiliza maombi yake na kumuacha asulubiwe


Matayo 7:21-27 Yesu aka Isa Kama Mtume wa Mungu,kweli atarudi Duniani,atakaporudi atakuja kuwakataa watu Kama nyinyi,.

Atakaporudi Yesu atawakataa watu mnaemsingizia na kumtukuza kupita kiasi,kumpa cheo sio chake,mnakula nguruwe,hamkati magovi nk
 
Ficha ujinga wako popoma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…