What are some crazy interesting conspiracy theories?

Ila kati ya yote hayo hadithi fikirishi ni hii ya Neil Armstrong kwenda mwezini....

Ikifika usiku nikiuangalia mwezi halaf nikisikia kuhusu jamaa na crew yake kwenda mwezini napata kigugumizi kabisa

Na just imagine mwaka huo huku chini watu yaan hawakuona chochote juu pale mwezini au hata hicho chombo wakati kinatua hata kwa vitaa taa tuu yaan..... Huu ni uwongo wa wazi kabisa

Dunia duara nayo haiko nyuma ( watu na vitu kuning'inia juu chini + maji kuning'inia ) au kuwa ubavu ubavu sema daah....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The craziest conspiracy theory has got to be the existence of an all knowing, all capable and all loving God.

It doesn't get any crazier than that.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Kwa kweli

Nakazia
 
QAnon Conspiracy theory pia ushaifuatilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…