Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
KaliUbongo wa Mwalimu Nyerere ulichukuliwa na wazungu huko Ulaya baada ya kifo.
Mwalimu aliwapatanisha Malkia Elizabeth na Mume wake walipokuwa na mgogoro wa ndoa.
Hizi nilizisikia huko Katavi kwenye kijiwe Cha kahawa
Sehem ganFinland haipo?
Juzi tu tulikuwa na semina na wanachuo kutoka Finland about HIV and economics
HahahahhaaKuna muda unataka kusoma hizo theories tofauti tofauti, ila kuna majamaa yanaweka theory pumba kabisa hata nguvu ya kusoma nyingine inakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao njiwa ki South Africa watakua walikuwa wanamaanisha wanatmk kichawiNi njiwa watatu wanono sana tena wana ladha na nyama kuliko wale nilikua nafuga pale Gangilonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, inahusu nini?QAnon Conspiracy theory pia ushaifuatilia?
Ni Conspiracy theory kuwa kuna kundi la watu wanaoabudu shetani na ambao ni ma pedophiles wanaojihusisha na child sex trafficking wanapanga njama dhidi ya rais Donald Trump na Trump yuko katika vita na watu hao.Hapana, inahusu nini?
Elezea kidogo darasa duara.
QAnon got some weirdos.QAnon Conspiracy theory pia ushaifuatilia?
Sijabahatika kuona hizo pictures zilizopigwa nje ya dunia.Unazo hapo!?Hiyo haitoshi bila ushahidi.
Kama watu walitoka hadi nje wakaona dunia ni tufe wakapiga na picha na bado mnabisha, vipi hili unawezaje kuliamini?
Au kwa sababu linahusisha imani?
Isije kuwa ni picha za kutengenezwa na kompyuta tu...Sijabahatika kuona hizo pictures zilizopigwa nje ya dunia.Unazo hapo!?
Ahsante kwa kunikumbusha hii tahadhari,ningependa kuoneshwa picha zilizopigwa na hao walioenda huko na si za kutengenezwa.Isije kuwa ni picha za kutengenezwa na kompyuta tu...
Vipi kuhusu wanasayansi ambao wako kwenye space station ambayo inapiga picha za Dunia na kutoa info kuhusu hali ya hewa pamoja na mabadiliko ya tabia nchi? Ushawahi kufuatilia habari za Grand Voyager 1 and 2 space mission ambazo zilirusha satellite kwenda nje ya space beyond Pluto?Ahsante kwa kunikumbusha hii tahadhari,ningependa kuoneshwa picha zilizopigwa na hao walioenda huko na si za kutengenezwa.
Suala la mtu kusema ameenda nje ya dunia sijawahi kulikubali(nna sababu zangu za msingi) ingawa kwa wengine inawezekana labda.kwahiyo ili tu nielewe hilo nahitaji ushahidi unaoonekana.
Asante. Nilikuwa sijaisikia kabisa.Ni Conspiracy theory kuwa kuna kundi la watu wanaoabudu shetani na ambao ni ma pedophiles wanaojihusisha na child sex trafficking wanapanga njama dhidi ya rais Donald Trump na Trump yuko katika vita na watu hao.
Kwa mujibu wa Conspiracy theory hiyo ni kuwa kundi hilo linahusisha watu maarufu kama waigizaji wa Hollywood ambao ni maliberali na wanasiasa (wa Democrat).
Ni Conspiracy theory iliyoibuliwa na far right-wing na ilianzia mwaka 2017 na sasa hivi inazidi kuwa maarufu miongoni mwa wafuasi wa Trump.
Imetengenezewa kama movement fulani hivi. Isome zaidi mitandaoni imeelezewa kwa kina. Binafsi nimeanza kuisoma mitandaoni hivi karibuni. Ila nimeielewa kidogo sana.
Sina ila Google utaziona.Sijabahatika kuona hizo pictures zilizopigwa nje ya dunia.Unazo hapo!?
Kwanini? Za kweli hamna?Isije kuwa ni picha za kutengenezwa na kompyuta tu...
Kuna uhakika gani kuwa hizo picha haziko distorted kutokana na umbali uliopo?Vipi kuhusu wanasayansi ambao wako kwenye space station ambayo inapiga picha za Dunia na kutoa info kuhusu hali ya hewa pamoja na mabadiliko ya tabia nchi? Ushawahi kufuatilia habari za Grand Voyager 1 and 2 space mission ambazo zilirusha satellite kwenda nje ya space beyond Pluto?
Kuna uhakika gani kuwa hizo picha haziko distorted kutokana na umbali uliopo?
Sijasema ziko distorted.Kuna uhakika gani ziko distorted?