What are some crazy interesting conspiracy theories?


Some people seem to remember there being a dash in Kit Kat, making it “Kit-Kat,” but there isn’t one, and that frustrates them because they’re sure that once upon a time, there was one.
 
Hiyo namba 9 imenikumbusha conspiracy theory moja ya ajabu sana inayodai kuwa Angela Merkel ni mtoto wa Adolf Hitler.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaruhusiwa Asprin.
Haya tuelezee hiyo ndio inakuwaje?
 
Darasa Duara hii Finland Conspiracy ni evidence gani wanatumia kusema haipo?
Ningependa kusikia zaidi pia kuhusu hii ndege.
 
Lol,That's what the UK wants them to believe. I can't stop laughing.
 
Bado sijapata file lake. Kila nikimwita aje nimkague ananisemesha kimombo. Nshalipa ada kwa Ras Simba...muda si mrefu ntakuletea ripoti
Sawa babu, naisubiri hiyo report.

Huyu mtoto amesababisha mpaka siku hizi najifanya kusoma soma ovyo ili tu nielewe anachokiandika, ila shida iko pale pale.
Dah umefanya nicheke msibani we jamaa
Pole na msiba babu, ila ukweli kabla hujafungua thread ya huyu mtoto inabidi ujue tu kuna ngeli ya ukweli.

Pengine napita zangu mbali, au natafuta kinywaji kiasi ili ngeli ipande ndo natafuta nyuzi zake.
Usiwe unasoma thread zake kabla hujagonga K Vant... utatoka kapa tu
Jamani. You guys are awesome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…