Kuna wakati ukiona mtu hapendi muendelee mjadala usiokuwa na mabishano yenye tija unatakiwa uachane nae huenda anakuokoa na aibu ya kuuliza maswali ya kitoto kama ya majibishano ya kwenye vijiwe vya kahawa.
Nikujibu uone uzembe wako wa kutafuta taarifa
Meli zilizo potea hapo zinazidi 50 na ndege zaidi ya 20.
Baadhi ya abiria waliopotea kwanye meli moja tu iitwayo USS Cylops Tarehe 4 Machi 1918 wapo hapo chini na majina ya ndugu zao, anuani za makazi yao kabla ya kupotea, tarehe ya kujiunga na kazi n.k.
CAIN, JOHN J, Ensign, USNRF, (sister, Mrs Ellen Purcell, Fairview, Colo; appointed Colorado), USS Cyclops, collier (No.4), ship disappeared in western Atlantic after leaving Barbados on March 4, 1918, declared lost, June 14, 1918
CALLAHAN, JOHN, Chief Machinist's Mate, (Cousin, James Haynes, Weals, Mass; enlisted Boston, Mass, March 16, 1911), USS Cyclops, collier (No.4), ship disappeared in western Atlantic after leaving Barbados on March 4, 1918, declared lost, June 14, 1918
CALLAHAN, THOMAS OSCAR, Fireman, 3rd class, (father, Thomas Callahan, 606 Oak Street, Toledo, Ohio; enlisted Cincinnati, Ohio, July 6, 1917), USS Cyclops, collier (No.4), ship disappeared in western Atlantic after leaving Barbados on March 4, 1918, declared lost, June 14, 1918
CAREY, THOMAS, Fireman, 2nd class, (father, John Carey, R F D 4, Cedar Springs, Mich; enlisted Detroit, Mich, April 9, 1917), USS Cyclops, collier (No.4), ship disappeared in western Atlantic after leaving Barbados on March 4, 1918, declared lost, June 14, 1918
CARPENTER, PERCY LEON, Chief Water Tender, (wife, Mabel Carpenter, 2128 Newkirk Street, Philadelphia Pa; enlisted Philadelphia, Pa, December 10, 1913), USS Cyclops, collier (No.4), ship disappeared in western Atlantic after leaving Barbados on March 4, 1918, declared lost, June 14, 1918
Majina zaidi nenda kwenye tovuti ya wahanga wa matukio ya Jeshi la maji na kikosi cha ulinzi wa pwani ya huko Marekani link hii
USS Cyclops and other US Warships, killed and died
Naweza kuendelea maana orodha ya wahanga ni ndefu ndio maana nikasema tunachafua thread ya mdau
Paula Paul, wewe anzisha thread yako kisha niite nije nitiririke na ushahidi zaidi.
Pia tafuta Encyclopedia Britannica
Bermuda Triangle | Description & Facts upate maelezo zaidi ya Bermuda triangle.