What could be agenda of Magufuli Uhuru meeting

kirk git

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
591
Reaction score
677
-Africa free trade zone?
-EPA?
-Jaguar?
-Cotton, maize, cashew nuts?
-Aob?
 
Hio ya Jagwa mmeongeza nyinyi watz wa hapa JF.... Ikumbukwe jagwa pia alilenga wachina ambao wanauza hadi nguo za mitumba siku hizi.... Na ambassador wa China alilalamika kuhusu hayo matamshi ya Jagwa, Kama ingekua ni issue kwa Uhuru, angesafiri China au hata kwa embassy ya China kuhakikishia wachina manake serekali ya China inapewwa priority kuliko Tz manake tuna madeni yao!
 
Mipaka ifunguliwe tuingie Tz tupanue biashara kupunguza omba omba kwa kuwapa ajira wasifurike Kenya.
 
Jagwa is politically immature and is obsessed by xenophobic envy. Mshamba na hafai kabisa

Tangu awe mbunge hata sijawahi msikia hadi hii story ilipotokea, labda alikua anatafuta political relevance
 
Hio ya Jagwa mmeongeza nyinyi watz wa hapa JF.... Ikumbukwe jagwa pia alilenga wachina ambao wanauza hadi nguo za mitumba siku hizi.... Na ambassador wa China alilalamika kuhusu hayo matamshi ya Jagwa, Kama ingekua ni issue kwa Uhuru, angesafiri China au hata kwa embassy ya China kuhakikishia wachina manake serekali ya China inapewwa priority kuliko Tz manake tuna madeni yao!
Sio kweli, mbona aliomba radhi kimaandishi kwa Magufuli pekee na isiwe China au Uganda?.
 
Mipaka ifunguliwe tuingie Tz tupanue biashara kupunguza omba omba kwa kuwapa ajira wasifurike Kenya.
Hahahaha, unasubiri kwa hamu kubwa mipaka ifunguliwe sio?, mpo wengi sana mnaosubiri, endeleeni kuvuta subira, muda sio mrefu tutawafungulia.
 
Nakumbuka maneno ya Captain Kung'u Muigai ktk misa ya mazishi ya Jenerali Nkaissery kuhusu mwendawazimu Idd Amin Dada alivyosababisha taabu kwao wanafunzi wakiwa mafunzoni India, alipowafukuza raia wa Uganda wenye asili ya India.

Maneno ya Jaguar Charles Njagua yangeweza kusababisha mambo makubwa baina ya Kenya na nchi kama China,Tanzania n.k kwa raia wageni mitaani bila kusahau athari kwa kampuni kubwa za Kenya zilizowekeza Tanzania .

Sikiliza stori hii ya retired Captain Kung'u Muigai ambaye ni mpwa wa Jomo Kenyatta na binamu wa Uhuru Kenyatta,shughuli iliyowapata wakiwa India kutokana na ubaguzi wa Idi Amin, kweli historia ni somo zuri na la maan:
 
7 Jun 2018
Trade relations between Kenya and Tanzania will continue to deteriorate unless significant investment is made in improving the balance of trade and trade relation. This is according to the export promotion council which says, current efforts are barely sufficient to keep trade on track.
 
Nakumbuka maneno ya Captain Kung'u Muigai ktk Mazishi ya Jenerali Nkaissery kuhusu mwendawazimu Idd Amin Dada alivyosababisha taabu kwao alipowafukuza raia wa Uganda wenye asili ya India.

Maneno ya Jaguar Charles Ngajua yangeweza kusababisha mambo makubwa baina ya Kenya na nchi kama China,Tanzania n.k kwa raia wageni mitaani bila kusahau athari kwa kampuni kubwa za Kenya zilizowekeza Tanzania .

Sikiliza stori hii ya retired Captain Kung'u Muigai ambaye ni mpwa wa Jomo Kenyatta na binamu wa Uhuru Kenyatta,shughuli iliyowapata wakiwa India kutokana na ubaguzi wa Idi Amin, kweli historia ni somo zuri na la maan:

Wakenya si watu wa hivyo, ingekua tuko na hizo hisia tungekua tulifanya hivyo kitambo sana enzi za rais Moi ambapo maisha yalikua magumu zaidi..
 
Hahahaha, unasubiri kwa hamu kubwa mipaka ifunguliwe sio?, mpo wengi sana mnaosubiri, endeleeni kuvuta subira, muda sio mrefu tutawafungulia.
Endleeni kuvuta Subira hadi mfikie kiwango cha kuvuta bangi ndo itaruhusiwa.
 
Back
Top Bottom