blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Kenya lazima ishinde, huyu kipofu wetu masifa ya memjaa kazi ya Kenyatta ni kumsifu tu ili avune kwa wingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya si watu wa hivyo, ingekua tuko na hizo hisia tungekua tulifanya hivyo kitambo sana enzi za rais Moi ambapo maisha yalikua magumu zaidi..
Story za vijiweni hizo, Kama Rais angekua na issue za hio hadithi za jagwa, angemuita Jangwa Ikulu na kumkanya kabla asafiri huko TZ ili jagwa mwnyewe ndo aombe msamaha, Kwasasa jagwa bado ni mwanachama wa Jubelee party na bado ni mbunge wa starehe, na bado hajaomba msamaha kwahivyo akishalipa bail anaweza kutamka hayo maneno tena hata baada ya Uhuru kwenda huko TZ, na anaweza aagiza wakaazi la eneo bunge lake waanze kufurisha wageni... So hakuna umuhimu wowote wa Uhuru kuomba msamaha wakati alietamka hayo maneno bado anaweza na anauwezo wa kuyatamka tena!Kuna wafanyabiashara wakubwa wa Kenya na makampuni ya Kenya wenye ushawishi mkubwa ktk biashara zinazovuka mipaka ambao wamekasirishwa sana na kauli ya Jaguar.
Ingawa raia wa kawaida waKenya wasingefanya ujinga wa Jaguar, lakini watu hawa matajiri wakubwa wenye hisa / share ktk makampuni makubwa Kenya waliojifunganisha na siasa za Kenya ni watu makini sana. Hawawezi kupuuzia kauli za mwanasiasa juha aliye masikini Charles Njagua a.k.a Jaguar lazima watume watu kuweka mambo sawa.
Sio kweli unayosema, rais ndiye mtu wa juu kabisa, yeye ndiye kichwa cha nchi, analosema rais ndio msimamo wa nchi. Kama ameomba msamaha na kujitenga na matamshi ya Jagwa, huo ndio msimamo wa Serikali ya Kenya, Jagwa hata akirudia kusema tena na tena, Tanzania haiwezi kuhamaki wala kuyasikiliza, hilo litakua ni tatizo la Jagwa kutomuheshimu rais wake.Story za vijiweni hizo, Kama Rais angekua na issue za hio hadithi za jagwa, angemuita Jangwa Ikulu na kumkanya kabla asafiri huko TZ ili jagwa mwnyewe ndo aombe msamaha, Kwasasa jagwa bado ni mwanachama wa Jubelee party na bado ni mbunge wa starehe, na bado hajaomba msamaha kwahivyo akishalipa bail anaweza kutamka hayo maneno tena hata baada ya Uhuru kwenda huko TZ, na anaweza aagiza wakaazi la eneo bunge lake waanze kufurisha wageni... So hakuna umuhimu wowote wa Uhuru kuomba msamaha wakati alietamka hayo maneno bado anaweza na anauwezo wa kuyatamka tena!
Tena issitoshe, Kulingana na sheria, Jubelee party ikihisi Jagwa anaenda kinyume na sheria za jubelee, wanaruhusiwa kumuondoa jagwa kwa chama chao kitu ambacho kitasababisha Jagwa asiwe mbunge tena hadi waende kura upya.... Kinara wa jubelee party ni Rais Kenyatta.. Ingekua Rais kamlazimisha Jagwa aombe msamaha hapo ndo ningejua ni jambo muhimu kwa Uhuru
Ngoja kwanza tumsikilize Mh. Uhuru Kenyatta ktk hotuba yake , Uhuru ambaye pia ni mfanyabishara mkubwa, share holder ktk kampuni kubwa na mwakilishi wa wafanyabishara matajiri wakubwa na wenye makampuni nchini Kenya akiwakilisha kile matajiri wenye ushawishi wanafikiria kuhusu mustakabali wa East Africa na fursa endelevu za kibiashara. Nipo kijiweni Nitarudi.Story za vijiweni hizo, Kama Rais angekua na issue za hio hadithi za jagwa, angemuita Jangwa Ikulu na kumkanya kabla asafiri huko TZ ili jagwa mwnyewe ndo aombe msamaha, Kwasasa jagwa bado ni mwanachama wa Jubelee party na bado ni mbunge wa starehe, na bado hajaomba msamaha kwahivyo akishalipa bail anaweza kutamka hayo maneno tena hata baada ya Uhuru kwenda huko TZ, na anaweza aagiza wakaazi la eneo bunge lake waanze kufurisha wageni... So hakuna umuhimu wowote wa Uhuru kuomba msamaha wakati alietamka hayo maneno bado anaweza na anauwezo wa kuyatamka tena!
Tena issitoshe, Kulingana na sheria, Jubelee party ikihisi Jagwa anaenda kinyume na sheria za jubelee, wanaruhusiwa kumuondoa jagwa kwa chama chao kitu ambacho kitasababisha Jagwa asiwe mbunge tena hadi waende kura upya.... Kinara wa jubelee party ni Rais Kenyatta.. Ingekua Rais kamlazimisha Jagwa aombe msamaha hapo ndo ningejua ni jambo muhimu kwa Uhuru
Umefuatilia aliyo Yatamka Rais wenu au umekurupuka!!Story za vijiweni hizo, Kama Rais angekua na issue za hio hadithi za jagwa, angemuita Jangwa Ikulu na kumkanya kabla asafiri huko TZ ili jagwa mwnyewe ndo aombe msamaha, Kwasasa jagwa bado ni mwanachama wa Jubelee party na bado ni mbunge wa starehe, na bado hajaomba msamaha kwahivyo akishalipa bail anaweza kutamka hayo maneno tena hata baada ya Uhuru kwenda huko TZ, na anaweza aagiza wakaazi la eneo bunge lake waanze kufurisha wageni... So hakuna umuhimu wowote wa Uhuru kuomba msamaha wakati alietamka hayo maneno bado anaweza na anauwezo wa kuyatamka tena!
Tena issitoshe, Kulingana na sheria, Jubelee party ikihisi Jagwa anaenda kinyume na sheria za jubelee, wanaruhusiwa kumuondoa jagwa kwa chama chao kitu ambacho kitasababisha Jagwa asiwe mbunge tena hadi waende kura upya.... Kinara wa jubelee party ni Rais Kenyatta.. Ingekua Rais kamlazimisha Jagwa aombe msamaha hapo ndo ningejua ni jambo muhimu kwa Uhuru
-GENGE LA BASHITE KUMTEKA RAPHAEL.-Africa free trade zone?
-EPA?
-Jaguar?
-Cotton, maize, cashew nuts?
-Aob?
Haya Msikilize mkubwa wako hapaStory za vijiweni hizo, Kama Rais angekua na issue za hio hadithi za jagwa, angemuita Jangwa Ikulu na kumkanya kabla asafiri huko TZ ili jagwa mwnyewe ndo aombe msamaha, Kwasasa jagwa bado ni mwanachama wa Jubelee party na bado ni mbunge wa starehe, na bado hajaomba msamaha kwahivyo akishalipa bail anaweza kutamka hayo maneno tena hata baada ya Uhuru kwenda huko TZ, na anaweza aagiza wakaazi la eneo bunge lake waanze kufurisha wageni... So hakuna umuhimu wowote wa Uhuru kuomba msamaha wakati alietamka hayo maneno bado anaweza na anauwezo wa kuyatamka tena!
Tena issitoshe, Kulingana na sheria, Jubelee party ikihisi Jagwa anaenda kinyume na sheria za jubelee, wanaruhusiwa kumuondoa jagwa kwa chama chao kitu ambacho kitasababisha Jagwa asiwe mbunge tena hadi waende kura upya.... Kinara wa jubelee party ni Rais Kenyatta.. Ingekua Rais kamlazimisha Jagwa aombe msamaha hapo ndo ningejua ni jambo muhimu kwa Uhuru
Alimpigia cm magu mwanzo haikupokelewa akakuta missed callHehe Kenyatta ameona kwa kasi hii ya awamu ya 5, heri atafute urafiki kwanza
Halafu Jamaa chuki dhidi ya Tanzania kaanza kitambo! Kumbuka issue ya Harmonize na kukataa ku-perform na airplay time for Bongo music on Kenyan radio stations!Jagwa is politically immature and is obsessed by xenophobic envy. Mshamba na hafai kabisa
Yule dogo aliyetekwa juzi.-Africa free trade zone?
-EPA?
-Jaguar?
-Cotton, maize, cashew nuts?
-Aob?
Chuki ni neno la nguvu nitasema ni ugomvi baina ya wakenya na tanzania ulianza kitambo.Halafu Jamaa chuki dhidi ya Tanzania kaanza kitambo! Kumbuka issue ya Harmonize na kukataa ku-perform na airplay time for Bongo music on Kenyan radio stations!
Hamna, jaguar na wasanii wengi wa kenya mnawaonea gere artist wa bongo, na ukishaonea gere a section of tanzanians, you will automatically hate tanzanians.Chuki ni neno la nguvu nitasema ni ugomvi baina ya wakenya na tanzania ulianza kitambo.
Sawa basi 😒Hamna, jaguar na wasanii wengi wa kenya mnawaonea gere artist wa bongo, na ukishaonea gere a section of tanzanians, you will automatically hate tanzanians.
Kwa sbb mna madeni ya wachina mnaipa China priority na kuikanyaga Tz siyo, fungeni boda yaishe.Hio ya Jagwa mmeongeza nyinyi watz wa hapa JF.... Ikumbukwe jagwa pia alilenga wachina ambao wanauza hadi nguo za mitumba siku hizi.... Na ambassador wa China alilalamika kuhusu hayo matamshi ya Jagwa, Kama ingekua ni issue kwa Uhuru, angesafiri China au hata kwa embassy ya China kuhakikishia wachina manake serekali ya China inapewwa priority kuliko Tz manake tuna madeni yao!
Maskini wakubwa nyie, we unakula mlo mmoja unaishi kwenye squatter utaweza kutoa ajira?Mipaka ifunguliwe tuingie Tz tupanue biashara kupunguza omba omba kwa kuwapa ajira wasifurike Kenya.