What could be agenda of Magufuli Uhuru meeting

Ninavyomjua rais wangu huwa yupo kimaslahi zaidi, sio mtu wa kuzurura ovyoo, hivyo kwa hiyo safari lazima pazaliwe kitu. Nchi zote alizokwenda, hatimaye kuna kitu huja kujitokeza kama mazao ya safari yake huko. Watanzania wamekomalia la kuombwa msamaha kwa mambo ya Jaguar, yaani fikra za Kitandale Tandale, yaani rais wa super power ya EAC aondoke kwa ndege kwenda kuomba msamaha kwa matamshi ya kijinga ya mtu mmoja.

Ni wazi atawakosha Watanzania kwa kuwaomba msamaha, ila kwa wenye ubongo wa kuwaza nje ya kifurushi, wataweza kutabanaisha nini kipo nyuma ya pazia.
Baada ya Ziara ya Tz, Uhuru amerudi straight mpaka Kisumu Leo na amekagua marekebisho ya bandari, ikumbukwe juzi (Thursday) raila alikua hapo Kisumu port , hii itakua ni mara ya tatu ndani ya miezi miwili uhuru ametembelea Kisumu port na Raila.

Uhuru tours Kisumu Port after visit to Magufuli's home

Hapo kwenye hio taarifa wanasema bandari hio itazinduliwa rasmi na M7 na rais wa DRC Congo, sasa sijui Congo inahusika vipi na lake Victoria..... Hii inamaanisha labda Uhuru anataka route ya kupeleka mizigo DRC Congo kutoka Mombasa ifupishwe na badala ya kupitia Uganda , mizigo isafirishwe na meli kutoka Kisumu Hadi upande wa Tz karibu na eneo la Kagera alafu ivukishwe mpaka hadi DRC...

From the article---------------
The renovated port is expected to be officially commissioned by President Uhuru Kenyatta, Yoweri Museveni of Uganda and Felix Tshisekedi of DR Congo.
----------------
 
Hiyo kweli, pia nakumbuka nilisoma sehemu hata Magufuli amealikwa kwenye uzinduzi wa hiyo bandari, hapo Museveni atakerwa maana mizigo ya DRC anaweza akaikosa.
 
Huyu Aide-camp wa JPM mbona hakuvua kofia kwa heshima ya Mungu?

Back
Top Bottom