What could be agenda of Magufuli Uhuru meeting

What could be agenda of Magufuli Uhuru meeting

Nakumbuka maneno ya Captain Kung'u Muigai ktk misa ya mazishi ya Jenerali Nkaissery kuhusu mwendawazimu Idd Amin Dada alivyosababisha taabu kwao wanafunzi wakiwa mafunzoni India, alipowafukuza raia wa Uganda wenye asili ya India.

Maneno ya Jaguar Charles Njagua yangeweza kusababisha mambo makubwa baina ya Kenya na nchi kama China,Tanzania n.k kwa raia wageni mitaani bila kusahau athari kwa kampuni kubwa za Kenya zilizowekeza Tanzania .

Sikiliza stori hii ya retired Captain Kung'u Muigai ambaye ni mpwa wa Jomo Kenyatta na binamu wa Uhuru Kenyatta,shughuli iliyowapata wakiwa India kutokana na ubaguzi wa Idi Amin, kweli historia ni somo zuri na la maan:

Kwa hilo Idi Amini alifanya vizuri sana, hilo tu.
 
Wakenya si watu wa hivyo, ingekua tuko na hizo hisia tungekua tulifanya hivyo kitambo sana enzi za rais Moi ambapo maisha yalikua magumu zaidi..
Sidhani kama kipindi hicho Watanzania walikuwa wanazidi 100 ndani ya Kenya, kwa kifupi Watanzania hawajasambaa sana kwenye nchi zinazozungumza lugha za kigeni au duniani kwa ujumla,

Pia ni advantage kubwa kwa Tanzania kutokupokea wageni wengi tegemezi kutoka nchi za kigeni sababu ya language barrier na hii ina manufaa mengi sana kama kiusalama, identity na mengine mengi, ni rahisi sana mnaijeria kuzamia na kukaa Kenya bila kushtukiwa ukilinganisha na kuja Tanzania.
 
Ngoja kwanza tumsikilize Mh. Uhuru Kenyatta ktk hotuba yake , Uhuru ambaye pia ni mfanyabishara mkubwa, share holder ktk kampuni kubwa na mwakilishi wa wafanyabishara matajiri wakubwa na wenye makampuni nchini Kenya akiwakilisha kile matajiri wenye ushawishi wanafikiria kuhusu mustakabali wa East Africa na fursa endelevu za kibiashara. Nipo kijiweni Nitarudi.

5 Jul 2019
Nairobi, Kenya
UHURU AKUTANA NA POMBE
Rais Uhuru Kenyatta amewasili Tanzania na kulakiwa na mwenyeji wake John Pombe Magufuli.

Source : NTV Kenya

Haya Msikilize mkubwa wako hapa

Kwenye speech amesema anamshukuru JPM kwa mwaliko !!!!!!!!!!!

Ajenda kuu ya Uhuru ukisikiliza hotuba ni Tanzania ifungue mipaka!, hayo ya Jagwa aliongelea tu kamamfano ya watu ambao hawajawai tembea mbali na kijiji chao!
Pia amesema sababu ya kuja ziaza ya kibinafsi ni ili baadae akija ziara rasmi mambo yawe yanaenda "smoothly" bila uhasama wowote! Just like I had predicted earlier kwamba intention ya Uhuru ni kutengeneza urafiki na JPM ili kuondoa uhasama ndo mambo ya kidiplomasia yawe yanasonga bila sababu ndogo ndogo

D-uMVjcXkAErRq-.jpg

D-t55O7WkAIMUdE.jpg
 
Hahahaha, unasubiri kwa hamu kubwa mipaka ifunguliwe sio?, mpo wengi sana mnaosubiri, endeleeni kuvuta subira, muda sio mrefu tutawafungulia.
Kama mnajiamini mbona uoga hivi? Tutaingia Hadi ujinyonge kwa wivu....btw my family has been residents in Tz for more than 40 years na hakuna utakalolifanya hata mashamba na biashara tuko nazo huko.
 
Kama mnajiamini mbona uoga hivi? Tutaingia Hadi ujinyonge kwa wivu....btw my family has been residents in Tz for more than 40 years na hakuna utakalolifanya hata mashamba na biashara tuko nazo huko.
Sisi kamwe hatuwakatazi, muhimu muwe na adamu na mjifunze kuwa " humble" kama sisi.
 
Acheni kelele jamani kenyatta kaenda chato kwaajili ya kumuona Mama yake na Maghufuli ambaye ni mgonjwa siku nyingi hata Magu yupo huko kwaajili hiyo hayo mengine ni ziada tu.
 
Ninavyomjua rais wangu huwa yupo kimaslahi zaidi, sio mtu wa kuzurura ovyoo, hivyo kwa hiyo safari lazima pazaliwe kitu. Nchi zote alizokwenda, hatimaye kuna kitu huja kujitokeza kama mazao ya safari yake huko. Watanzania wamekomalia la kuombwa msamaha kwa mambo ya Jaguar, yaani fikra za Kitandale Tandale, yaani rais wa super power ya EAC aondoke kwa ndege kwenda kuomba msamaha kwa matamshi ya kijinga ya mtu mmoja.

Ni wazi atawakosha Watanzania kwa kuwaomba msamaha, ila kwa wenye ubongo wa kuwaza nje ya kifurushi, wataweza kutabanaisha nini kipo nyuma ya pazia.
 
Sisi kamwe hatuwakatazi, muhimu muwe na adamu na mjifunze kuwa " humble" kama sisi.
Next time usikurupuke na usiwe humble juu umegundua hamna lolote unaweza fanya. Be wise as a serpent, silent as a dove otherwise utaonyeshwa Nyang'aus ni kina Nani....SI mlikurupuka mkisema hata gwaride la heshima halitakuwepo? Mkaangukia pua Tena.
 
Njaa mbaya sana, husababisha unyafuzi wa akili, tutaendelea kuwapa chakula hadi Ubongo wenu utakapokua sawasaw
 
Kama mnajiamini mbona uoga hivi? Tutaingia Hadi ujinyonge kwa wivu....btw my family has been residents in Tz for more than 40 years na hakuna utakalolifanya hata mashamba na biashara tuko nazo huko.
Kwani kuna mtu kakataza wakenya kuishi tz??? Mbona wapo wengi sana hata mnavosema tufungue mipaaka cjui mnamaanisha aje mbona wakenya wanakuja kila siku huku au mnatakaje??? Nyosheni maelezo
 
ziara binafsi means yaweza kuwa kaja kwa masuala binafsi,mfano kusalimia mama wa rais,au mambo yake ya bussines,uhuru is a big bussinesman
 
Njaa mbaya sana, husababisha unyafuzi wa akili, tutaendelea kuwapa chakula hadi Ubongo wenu utakapokua sawasaw
Msaada unakuja lini njaa unaniumiza Sana Hadi inanifanya kuuliza maswali very logical. Mahindi(msaada) kutoka Tanzania tunanunua pesa ngapi? Ama nimuulize kina Pombe na Uhuru? 🤔🤔🤔
 
Ninavyomjua rais wangu huwa yupo kimaslahi zaidi, sio mtu wa kuzurura ovyoo, hivyo kwa hiyo safari lazima pazaliwe kitu. Nchi zote alizokwenda, hatimaye kuna kitu huja kujitokeza kama mazao ya safari yake huko. Watanzania wamekomalia la kuombwa msamaha kwa mambo ya Jaguar, yaani fikra za Kitandale Tandale, yaani rais wa super power ya EAC aondoke kwa ndege kwenda kuomba msamaha kwa matamshi ya kijinga ya mtu mmoja.

Ni wazi atawakosha Watanzania kwa kuwaomba msamaha, ila kwa wenye ubongo wa kuwaza nje ya kifurushi, wataweza kutabanaisha nini kipo nyuma ya pazia.
Labda amekuja kutafuta soko la mirungi.
 
Back
Top Bottom