-Africa free trade zone?
-EPA?
-Jaguar?
-Cotton, maize, cashew nuts?
-Aob?
Asimfundishe kupiga cha Arusha tu maana itakua shughuli juu ya kaziJiwe anaenda kumfundisha Uhuru namna ya kuwa dikteta!
Hio ya Jagwa mmeongeza nyinyi watz wa hapa JF.... Ikumbukwe jagwa pia alilenga wachina ambao wanauza hadi nguo za mitumba siku hizi.... Na ambassador wa China alilalamika kuhusu hayo matamshi ya Jagwa, Kama ingekua ni issue kwa Uhuru, angesafiri China au hata kwa embassy ya China kuhakikishia wachina manake serekali ya China inapewwa priority kuliko Tz manake tuna madeni yao!
Tangu awe mbunge hata sijawahi msikia hadi hii story ilipotokea, labda alikua anatafuta political relevanceJagwa is politically immature and is obsessed by xenophobic envy. Mshamba na hafai kabisa
Sio kweli, mbona aliomba radhi kimaandishi kwa Magufuli pekee na isiwe China au Uganda?.Hio ya Jagwa mmeongeza nyinyi watz wa hapa JF.... Ikumbukwe jagwa pia alilenga wachina ambao wanauza hadi nguo za mitumba siku hizi.... Na ambassador wa China alilalamika kuhusu hayo matamshi ya Jagwa, Kama ingekua ni issue kwa Uhuru, angesafiri China au hata kwa embassy ya China kuhakikishia wachina manake serekali ya China inapewwa priority kuliko Tz manake tuna madeni yao!
Hahahaha, unasubiri kwa hamu kubwa mipaka ifunguliwe sio?, mpo wengi sana mnaosubiri, endeleeni kuvuta subira, muda sio mrefu tutawafungulia.Mipaka ifunguliwe tuingie Tz tupanue biashara kupunguza omba omba kwa kuwapa ajira wasifurike Kenya.
Nani aliomba radhi kwa magufuli?Sio kweli, mbona aliomba radhi kimaandishi kwa Magufuli pekee na isiwe China au Uganda?.
Wakenya si watu wa hivyo, ingekua tuko na hizo hisia tungekua tulifanya hivyo kitambo sana enzi za rais Moi ambapo maisha yalikua magumu zaidi..Nakumbuka maneno ya Captain Kung'u Muigai ktk Mazishi ya Jenerali Nkaissery kuhusu mwendawazimu Idd Amin Dada alivyosababisha taabu kwao alipowafukuza raia wa Uganda wenye asili ya India.
Maneno ya Jaguar Charles Ngajua yangeweza kusababisha mambo makubwa baina ya Kenya na nchi kama China,Tanzania n.k kwa raia wageni mitaani bila kusahau athari kwa kampuni kubwa za Kenya zilizowekeza Tanzania .
Sikiliza stori hii ya retired Captain Kung'u Muigai ambaye ni mpwa wa Jomo Kenyatta na binamu wa Uhuru Kenyatta,shughuli iliyowapata wakiwa India kutokana na ubaguzi wa Idi Amin, kweli historia ni somo zuri na la maan:
never.-Africa free trade zone?
-EPA?
-Jaguar?
-Cotton, maize, cashew nuts?
-Aob?
Endleeni kuvuta Subira hadi mfikie kiwango cha kuvuta bangi ndo itaruhusiwa.Hahahaha, unasubiri kwa hamu kubwa mipaka ifunguliwe sio?, mpo wengi sana mnaosubiri, endeleeni kuvuta subira, muda sio mrefu tutawafungulia.