What could be agenda of Magufuli Uhuru meeting

Wakenya si watu wa hivyo, ingekua tuko na hizo hisia tungekua tulifanya hivyo kitambo sana enzi za rais Moi ambapo maisha yalikua magumu zaidi..

Kuna wafanyabiashara wakubwa wa Kenya na makampuni ya Kenya wenye ushawishi mkubwa ktk biashara zinazovuka mipaka ambao wamekasirishwa sana na kauli ya Jaguar.

Ingawa raia wa kawaida waKenya wasingefanya ujinga wa Jaguar, lakini watu hawa matajiri wakubwa wenye hisa / share ktk makampuni makubwa Kenya waliojifunganisha na siasa za Kenya ni watu makini sana. Hawawezi kupuuzia kauli za mwanasiasa juha aliye masikini Charles Njagua a.k.a Jaguar lazima watume watu kuweka mambo sawa.
 
Story za vijiweni hizo, Kama Rais angekua na issue za hio hadithi za jagwa, angemuita Jangwa Ikulu na kumkanya kabla asafiri huko TZ ili jagwa mwnyewe ndo aombe msamaha, Kwasasa jagwa bado ni mwanachama wa Jubelee party na bado ni mbunge wa starehe, na bado hajaomba msamaha kwahivyo akishalipa bail anaweza kutamka hayo maneno tena hata baada ya Uhuru kwenda huko TZ, na anaweza aagiza wakaazi la eneo bunge lake waanze kufurisha wageni... So hakuna umuhimu wowote wa Uhuru kuomba msamaha wakati alietamka hayo maneno bado anaweza na anauwezo wa kuyatamka tena!
Tena issitoshe, Kulingana na sheria, Jubelee party ikihisi Jagwa anaenda kinyume na sheria za jubelee, wanaruhusiwa kumuondoa jagwa kwa chama chao kitu ambacho kitasababisha Jagwa asiwe mbunge tena hadi waende kura upya.... Kinara wa jubelee party ni Rais Kenyatta.. Ingekua Rais kamlazimisha Jagwa aombe msamaha hapo ndo ningejua ni jambo muhimu kwa Uhuru
 
Sio kweli unayosema, rais ndiye mtu wa juu kabisa, yeye ndiye kichwa cha nchi, analosema rais ndio msimamo wa nchi. Kama ameomba msamaha na kujitenga na matamshi ya Jagwa, huo ndio msimamo wa Serikali ya Kenya, Jagwa hata akirudia kusema tena na tena, Tanzania haiwezi kuhamaki wala kuyasikiliza, hilo litakua ni tatizo la Jagwa kutomuheshimu rais wake.
 
Kenyatta kachomekea mechi ya Tz na ke
Ameongelea biashara
Ameongelea Jagwa
 
Ngoja kwanza tumsikilize Mh. Uhuru Kenyatta ktk hotuba yake , Uhuru ambaye pia ni mfanyabishara mkubwa, share holder ktk kampuni kubwa na mwakilishi wa wafanyabishara matajiri wakubwa na wenye makampuni nchini Kenya akiwakilisha kile matajiri wenye ushawishi wanafikiria kuhusu mustakabali wa East Africa na fursa endelevu za kibiashara. Nipo kijiweni Nitarudi.

5 Jul 2019
Nairobi, Kenya
UHURU AKUTANA NA POMBE
Rais Uhuru Kenyatta amewasili Tanzania na kulakiwa na mwenyeji wake John Pombe Magufuli.

Source : NTV Kenya
 
Umefuatilia aliyo Yatamka Rais wenu au umekurupuka!!
 
Haya Msikilize mkubwa wako hapa
 
Leaders like business men dont use emotions to solve issues or complete deals...They are pragmatic..,There is no permanent enmity or stalemates in that set of people...While the common persons are fighting each other they are making deals...
 
Jagwa is politically immature and is obsessed by xenophobic envy. Mshamba na hafai kabisa
Halafu Jamaa chuki dhidi ya Tanzania kaanza kitambo! Kumbuka issue ya Harmonize na kukataa ku-perform na airplay time for Bongo music on Kenyan radio stations!
 
Halafu Jamaa chuki dhidi ya Tanzania kaanza kitambo! Kumbuka issue ya Harmonize na kukataa ku-perform na airplay time for Bongo music on Kenyan radio stations!
Chuki ni neno la nguvu nitasema ni ugomvi baina ya wakenya na tanzania ulianza kitambo.
 
Chuki ni neno la nguvu nitasema ni ugomvi baina ya wakenya na tanzania ulianza kitambo.
Hamna, jaguar na wasanii wengi wa kenya mnawaonea gere artist wa bongo, na ukishaonea gere a section of tanzanians, you will automatically hate tanzanians.
 
Hamna, jaguar na wasanii wengi wa kenya mnawaonea gere artist wa bongo, na ukishaonea gere a section of tanzanians, you will automatically hate tanzanians.
Sawa basi 😒
 
Kwa sbb mna madeni ya wachina mnaipa China priority na kuikanyaga Tz siyo, fungeni boda yaishe.
 
Mipaka ifunguliwe tuingie Tz tupanue biashara kupunguza omba omba kwa kuwapa ajira wasifurike Kenya.
Maskini wakubwa nyie, we unakula mlo mmoja unaishi kwenye squatter utaweza kutoa ajira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…