Nakumbuka maneno ya Captain Kung'u Muigai ktk misa ya mazishi ya Jenerali Nkaissery kuhusu mwendawazimu Idd Amin Dada alivyosababisha taabu kwao wanafunzi wakiwa mafunzoni India, alipowafukuza raia wa Uganda wenye asili ya India.
Maneno ya Jaguar Charles Njagua yangeweza kusababisha mambo makubwa baina ya Kenya na nchi kama China,Tanzania n.k kwa raia wageni mitaani bila kusahau athari kwa kampuni kubwa za Kenya zilizowekeza Tanzania .
Sikiliza stori hii ya retired Captain Kung'u Muigai ambaye ni mpwa wa Jomo Kenyatta na binamu wa Uhuru Kenyatta,shughuli iliyowapata wakiwa India kutokana na ubaguzi wa Idi Amin, kweli historia ni somo zuri na la maan: