joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii wagon ferry yenu ilikufa miaka mingi sana haifanyi kazi, prove me wrong.Kunazo kama Mv.Norris (If i remember correctly) ambazo ilikua ni wagon-ferry na bado iko na deck ya kupakia contena
Hata hivyo ukiangalia hio mv. Uhuru from the front side utaona kwamba ina urefu wa kutosha
![]()
Tena enzi hizo ilikua si lazima ibebe treni
![]()