What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

Kunazo kama Mv.Norris (If i remember correctly) ambazo ilikua ni wagon-ferry na bado iko na deck ya kupakia contena

Hata hivyo ukiangalia hio mv. Uhuru from the front side utaona kwamba ina urefu wa kutosha
1280px-MV_Uhuru.jpg

Tena enzi hizo ilikua si lazima ibebe treni
KR_Uhuru.jpg
Hii wagon ferry yenu ilikufa miaka mingi sana haifanyi kazi, prove me wrong.
 
Heheeee!!!mta force sana
Tatizo hujui biashara na uchumi, unachojua ni porojo tupu. Mfanya biashara vitu anavyotaka ni gharama za usafirishaji kuwa chini, jambo ambalo bandari ya Mwanza kufikisha Dar ni cheap by 40% ukilinganisha na Kisumu Mombasa kwa kutumia Diesel SGR.
 
Hawa jamaa ni wajinga...yani wameanza kujenga barabara vijijini juzi..basi wanajiona hapa duniani hamna vitu km hvo..

Halafu wanaile kasumba ya modern pia
Hawa hawajui chochote,wakiongea kuhusu Kenya utadhani hata wamefika border ya Kenya na TZ....
 
Tatizo hujui biashara na uchumi, unachojua ni porojo tupu. Mfanya biashara vitu anavyotaka ni gharama za usafirishaji kuwa chini, jambo ambalo bandari ya Mwanza kufikisha Dar ni cheap by 40% ukilinganisha na Kisumu Mombasa kwa kutumia Diesel SGR.
What measures have you used to conclude that Dar to Mwanza is 40% cheap compared to Mombasa to Nairobi?
 
You are always full of rumours, are you sure China wamekataa kutoa pesa?
Unapizungumzia bandari ya Kisumu, unazunfumzia reli IPI?. SGR ya Kenya pamoja na kwamba ni diesel lakini pia wameshindwa kuifikisha Kisumu. Wachina wamekata kutoa pesa, na Kenya imeshindwa kuifikisha hata Naivasha, badala yake wameitelejeza porini, kilometa 40 kufika Naivasha, sasa unapizungumza bandari ya Kisumu, ni reli ipi unayozungumzia?
IMG_20190717_202157.jpeg
 
Soma hiyo taarifa ya Leo, ndio utajua hakuna pesa mtapata toka China.
Acha porojo ndugu.

What measures have you used to conclude that Dar to Mwanza is 40% cheap compared to Mombasa to Nairobi?
Running cost za electric trains are 50% cheaper than Diesel Engines, ingia Google utafahamu haya yote.
 
Running cost za electric trains are 50% cheaper than Diesel Engines, ingia Google utafahamu haya yote.
Acha ujinga wewe,Kwani wafanyabiashara nd'o watakuwa wanarun the train ama govt?
 
Back
Top Bottom