What happened to Eliud Kipchoge?

Sasa kama mnajua hivyo, kwanini mnasingizia sikio kuziba [emoji23][emoji23]
 
Sasa kama mnajua hivyo, kwanini mnasingizia sikio kuziba [emoji23][emoji23]
Wewe huwa unapenda ligi za kitoto sana na kufungua nyuzi zisizo za maana. Eliud Kipchoge is the greatest marathoner, ever and his records will be there to stay for a very long time. Kushindwa juzi kule London won't erase that fact. And if you thought he'd remain at the top of his game forever then you need to come back to your senses. Form is temporary but class is permanent. Wait for the day a Tanzanian will run such marathons then come back later for engagement
 
Most important is that now you are back to normal, that he lost like all others, not because of ear problems, stop your nonsense excuses
 
Music industry ya kiswahili inawapeleka wapi??
 
Music industry ya kiswahili inawapeleka wapi??
Wasanii wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Wasanii wenye youtube subscribers wengi hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Wasanii wenye youtube views wengi hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Wasanii wenye international awards nyingi hapa East Africa ni kutoka Tanzania mfano MTV, BET, AFRIMMA, AFRIMA nk,

Wasanii maarufu zaidi Afrika na duniani kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Wasanii wanaoimba nyimbo zenye content safi na zinazoeleweka vizuri hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Wasanii wanaofanya matamasha makubwa mbalimbali Africa na kwinginepo kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Msanii aliyefanikiwa kufikisha views billion moja kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Msanii mwenye views zaidi ya milioni mia kwenye video moja kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Msanii mwenye youtube subscribers zaidi ya million nne kwa hapa East Africa ni kutoka Tanzania,

Niendelee ama nisiendelee!

Naam hapo ndipo music industry ya kiswahili imetupeleka.
 
I wish a Tanzanian had won [emoji23]
Sisi hatuwezi kutoa visingizio vya kijinga, katika kukimbia uwezo wetu ni mdogo, punguzeni kutoa visingizio, hii dunia wakimbiaji sio wakenya pekee, kuna siku mnashinda na siku mtashindwa.
 
Haters never win anything in life
 

Attachments

  • Screenshot_20201008-112121_1602145676582.jpg
    11.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20201008-112059_1602145613846.jpg
    9.3 KB · Views: 2
Haters never win anything in life
Mlipokua mkishangilia na kurukaruka mliposikia habari za watanzania kudondoka barabara kwasababu ya Corona " weren't you haters? [emoji23][emoji23]. Malipo ni hapahapa duniani, Mungu anawapa adhabu, tumikieni adhabu ya Mungu wacheni kulalamika
 
Mlipokua mkishangilia na kurukaruka mliposikia habari za watanzania kudondoka barabara kwasababu ya Corona " weren't you haters? [emoji23][emoji23]. Malipo ni hapahapa duniani, Mungu anawapa adhabu, tumikieni adhabu ya Mungu wacheni kulalamika
Kama wewe sio hater unawashwawashwa kwanini
 
Hiyo yoote inatuonyesha vile Tanzanians wanakuwaga idle most of their time..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…