What happened to Eliud Kipchoge?

Sikio ndio linakupa balance ya kutembea na kukimbia usipepesuke au kuyumbayumba au kuanguka kabisa.

Kama sikio moja kutofanya kazi hiyo ni sababu tosha.
 
Sikio ndio linakupa balance ya kutembea na kukimbia usipepesuke au kuyumbayumba au kuanguka kabisa.

Kama sikio moja kutofanya kazi hiyo ni sababu tosha.

Siyo kweli, mimi mwenyewe nimewahi kuziba sikio moja karibu mwezi mmoja wala sikupatwa na imbalance yoyote katika kutembea au kufanya kazi za mwili na hata watu wa karibu yangu hawakujua hali yangu hadi nilipowajulisha, isipokuwa siku mbili za mwanzo nilipata "discomforts" lakini hali hiyo kamwe haikuathiri utendaji kazi wa viungo vyangu, ndiyo maana napinga kwasababu ni jambo lililonitokea mimi binafsi.
 
Kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
Hii mtu umri umemtupa mkono! Inagonga above 45!
 
No human is Limited....!!Kashinda Tena. Una neno Juu Yake tafadhali??
 
Kwahiyo kama alishashinda huko nyuma lakini amezembea katika kujitayarisha hawezi kushindwa? Hakuna cha kisingizio, ameshindwa tena vibaya sana kwa aibu kubwa, arudi akajipange upya.
Aibu iko kwako tu, wasemaje sahi! Midomo imepigwa zipu kudadadeki! 🤣 🤣 🤣
 
Aibu iko kwako tu, wasemaje sahi! Midomo imepigwa zipu kudadadeki! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hivi Sasa amejiandaa vizuri sio Kama wakati ule, hongera zake. Ninyi wakenya ni watu wa ajabu Sana, hamtaki kukubali mapungufu yenu, mnadhani ninyi ni "Perfect people", hamkubali kwamba alishindwa kihalali kabisa, lazima mtoe visingozio, stupidity at the highest degree
 
Ukipata infection ya sikio linaweza kabisa kukuangusha mwereka bila kutarajia. Naongea kutokana na uzoefu.
 
Anafuwata ilani ya chama cha madudu
 
Ukipata infection ya sikio linaweza kabisa kukuangusha mwereka bila kutarajia. Naongea kutokana na uzoefu.

Hapa hatuzungumzii juu ya infection, tunazungumzia juu ya sikio kuziba ghafla, kumbuka kwamba huyo kipchoge anadai sikio liliziba ghafla wakati alipokuwa akikimbia, au kuziba ghafla kwa sikio ni kunaletwa na infection??
 
Hakuna perfect person hii dunia, acha udwanzi. Na pia yeye mwenyewe kalalamika juu ya sikio wakati ule, sio wakenya wote kama unavyosema. Mwisho, kwenye mashindano kuna mshindi na mshindwa, sasa kama alishindwa, hiyo ilkuwa bad day in office, so sio lazima yeye(Kipchoge) ashinde kila siku, kwani hakuna wanariadha wengine duniani? Vipi fikra zako wewe? 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…